Huyu Ngabu anatoa story nusunusu sijui yukoje[emoji57]
He hee nasubiri hilo pishi... Zingatia chumvi ya wastani tu lakini...Stori ya Ngabu na Valentina ipo jikoni...
"Ngabu na Valentina Wakutana Hoteli ya Sea Cliff"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ivi hii hali ngumu ya maisha inayotufanya watz wengi tuchanganyikiwe inawaathiri hadi mliopo ughaibuni?