Neymar kutokushiriki World cup


Upo? Watu naona wanataka kupigana
 

Hahahaha na mpira ukiwa karibu na goli narusha mguu
 
Mkuu say that again, Willian is better than Neymar and Dante better than Silva! Whoa never heard this before!!

yaani timu nzima wanacheza neymar na silva kutokuepo kwao pengo kubwa
 
Hili li timu ni libovu tokea mwanzo waliibebabeba tuu ili fujo zisitokee, ngoja leo tuone mwisho.
 

Baada ya hizi 5-0 ndio nimekukumbuka na kukuelewa mkuu!! Baaaaas naenda lala hata kipindi cha pili sitak tena.
 
Yale magoli 4 ndani ya dakika 6 sijui yameingiaje kama sijaona vizuri vile
 
Hapa bado saa itasimama kwa 9 bila
 
Brazil hii ni aibu ya mwaka inabidi Scolari ajiuzulu kabla hakujakucha kesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…