Hao watoto kila mtoto Ana mama yake
Mmoja wa mama watoto wake ni rafiki yangu......, mbona anajutraaa sasa
Demu wa kawaida sema pesa ipoo
Tangu Huyu Jamaa Alipoimba Kuwa Ni Rafiki Wa Lucifer,tena Huwezi Kwenda Mbinguni Bila Yeye,niligundua Ni 'Insane' Kabisa.
Ndio nani huyo?
Capt Nemo
Angekuwa na akili iliyotulia asingezaa na changudoa tena watoto watatu! Kama alivyoamua kumzalisha watoto wote hao, alipaswa kumrekebisha matendo yake ama asingezaa nae.
Mwanamuziki wa bongo flavor ajulikanaye kama Ney wa Mitego ametangaza kuwa baada ya kujipatia watoto watatu, hana tena mapenzi na mama watoto hao bali ana mapenzi na watoto hao.
Kwa kauli hiyo, ni sawa na mama watoto hao kuchukuliwa kama bahasha maana bahasha ikishafikisha barua, inakuwa haina umuhimu tena bali kinachofanyiwa kazi ni barua iliyokuwa ndani.
Binafsi kama mwanaume sikufurahishwa na kauli kama hii kwamba hataki mazoea na mwanamke bali mapenzi ni kwa watoto, na je kama si huyo mwanamama hao watoto angeweza kuwazaa mwenyewe.
Huu pia ni ujumbe kwa wale wenye tabia kama za huyu jamaa na pia wale wanaotelekeza mama na watoto wanaenda kutafuta mwanamke mwingine.
Mtoto anahitaji malezi ya wazazi wote labda itokee bahati mbaya mmojawapo kafariki lakini unakuta mtoto anateseka, pimbi anadunda mtaani.
Je wewe unamwunga mkono Ney wa Mitego kwa kauli yake.
angeoa basi ndipo azae.
Kwa maelezo ya Nay ni mwanamke mmoja amezaa naye watoto watatu.
Mmoja wa mama watoto wake ni rafiki yangu......, mbona anajutraaa sasa
Ana demu wake maeneo ya gedeli mwanza anafanya kazi ktk shirika la ndege fulani bahati mbaya huyo dada ni mwathirika
Ndio nani huyo?
Amechapiwa mademu zake wote kwa hiyo ni hasira tu