News : Maajabu ya mayaya

News : Maajabu ya mayaya

MziziMkavu hii video yataka moyo sana kutizama yaani mwili umekwisha nguvu sijui wenzangu wanaolelewa watoto na mayaya watajiskiaje.....


Kwa hali hii sijutii kuwa nyumbani muda wote kumlea mwanangu...
 
Last edited by a moderator:
ipo story ya mtoto aliyekutwa na maambukizi ilihali wazazi hawana...kisa.mayaya

Nliwah ona movie ya ki nigeria ina maudhui kama hayo ila hasa inatokea ikiwa mama mwenye nyumba ni mbinafsi na mnyanyasaji
 
hizi ni athari za haki sawa kwa wote if only wa mama wangebaki majumbani kungekuwa na matukio machache tu
 
Yani mi nikiona ivi,nazidi kukaa nyumbani tu ata siangaiki kutafuta kazi at this moment,aisee ngoja mwanangu afikishe 5 yr kwanza
 
Uchafu unafanyika mbele ya mtoto, kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza
 
Back
Top Bottom