News alert: Diwani ccm kuhamia chadema..

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,065
23,948
Diwani huyo anapatikana kwenye moja ya kata za wilaya ya KONDOA anaitwa "Mh Sambala" kama anavyosomeka katika a/c yake facebook, ambapo amepost kwamba anahtaji kujiunga CDM lakini kwa masharti atakayoyatoa... Habari hii nimeikuta facebook kwenye group la CHADEMA vs CCM..
 
Asisite na kama siyo mtete haki kwa Watanzania abaki huko huko yatakayomkuta ndani ya sisiem atajashangaa na family yake! Welcome Diwani:
 
Sasa masharti ya nini tena kama anahitaji ukombozi wa kweli. Gamba limemzidi alivue tu aje kwenye ukombozi wa taifa
 
Amenikumbusha mmoja wa wahalifu wawili walusulibiwa na YESU alopata wokovu dakika ya mwisho. Akaribie nyumbani!
 
Degedege... hebu acha ujinga aisee, acha kumpa promo humu jamvini au ni wewe nini??
 
Ataweza?maana usikute anahama chama kwa sababu ya kunyimwa posho....cc huku kikazi zaidi so kama anamalengo tofauti itamgharimu otherwise 2namkaribisha.
 
...Chadema si chama cha kutekeleza masharti ya viongozi,ni chama cha kutekeleza masharti ya umma.Kama unatakakuja Chadema ili masharti yako yatekelezwe,umepotea njia hakuna nafasi ya kiongozi kama wewe...
 
Tukukaribishe sisi alafu wewe uje kutupangia mashariti?hii nayo ni balaa,ni bora ukae hukohuko ukifika mda ukaielewa CDM utakuja tu kwa miguu yako..wananchi watupe masharti na wewe utupe mashariti?
 
Degedege... hebu acha ujinga aisee, acha kumpa promo humu jamvini au ni wewe nini??

mkuu siyo promo ni kweli ingia fesibuku kwenye la chadema vs ccm utaona hyo post na ameipost mwenyewe anajiita MH SAMBALA
 
Diwani huyo anapatikana kwenye moja ya kata za wilaya ya KONDOA anaitwa "Mh Sambala" kama anavyosomeka katika a/c yake facebook, ambapo amepost kwamba anahtaji kujiunga CDM lakini kwa masharti atakayoyatoa... Habari hii nimeikuta facebook kwenye group la CHADEMA vs CCM..

Huyo Kaka Sambala hayuko tayari kuwatumikia wananchi ni vyema akaendelea kuwa CCM. Huu ni wakati wa kuhudumia na kuwatumikia wananchi bila kujali itikadi au umaarufu wa mtu. Yeye kama anaona yuko bora sana kuliko wale wanaowatumikia wananchi bila conditions, itapendeza akasubiri CCJ au akaenda TLP au CUF.
 
Tuwe waangalifu si kila mtu wa kumkubali, wengine mamluki ndo hawa mwisho wa siku wanakuja kutusaliti
 
Awe makini magamba wanaweza kabisa kumlambisha sumu. Hongera kwa uamuzi makini.
 
Hafai yule. Kuna m2 kanitonya kuwa Sambala ni sho*a(kijana wa cameron)... Hafai kabisa mganga njaa mkubwa yule...
 
Back
Top Bottom