New Samsung fold Ni balaa...

New Samsung fold Ni balaa...

Huawei nao wamekuja na yao huawei mate X....Bei yake ni kubwa kuliko ya samsung tablet....5.9M .....Ya Samsung ni 4 M

Sent using Samsung Galaxy
 
Tatizo la hizi android app ni zile zile kama za simu , ni ngumu kukuta app special kwa ajiri ya hizi foldable . Zaidi ya kujikunja hazina cha ziada

Sent from my iPhone using JamiiForums
Si kweli makampuni mengi makubwa yame castomise sana android features nyingi tuu ndio maana kuna huduma zipo kwenye samsung au sony au lg na huawei na hazipo kwenye tecno yenye version hiyo hiyo ya androidn
 
Na samsung kabla hajazindua kifaa cha kujikunja alitoa user interface kabla inaitwa one ui ambayo ina adapt kwenye mazingira hayo.
 
Back
Top Bottom