New Samsung fold Ni balaa...

New Samsung fold Ni balaa...

Umejuaje hakuna deep programing na site nyingi nilizoona wamereview one ui wanaisifia. Na umetaja feature moja tu hapo, kuna mambo mengi inafanya zaidi.

Kitu chochote ambacho hakitengenezwi kwa mass volume kinakuwa ghali, gharama za kufanyia tafiti, mishahara etc haziwezi lipwa na units kama 10,000 mpaka hizo simu ziwe mainstream usitegemee kuwa rahisi, nakupa mifano zaidi.
-hololens ya microsoft dola 3000
-monitor za oled unaongelea mamilioni ya hela.

Sababu zinauzwa ghali si ujinga bali ndio mwanzo wa technology miaka inavyokwenda na vitu kuwa mainstream na bei na technology inakuwa rahisi zaidi.

Kama umeshawahi hata kutoa order ya chupa za plastic utaelewa ninachozungumza.

Vitu vyote ulivyotaja ni option hakuna hata kimoja ulicholazimishwa, mfano simu ikiwa na iris scanner usioipenda ni lazima kuitumia? Si unaieka tu off kwenye settings na kuendelea kutumia pattern ama password? Same kwenye hio s4 ilikuwa ni optional tu. Na pia si kila technology imetengenezwa kwa ajili ya watu wote kama kitu unaona hakiendani na matumizi yako unakiacha na kutafuta unachokipenda.

Subiria reviews kwanza za hio foldable software kisha ndio ulalamike vizuri.

Hii foldable si mara ya kwanza kuionesha, mwaka Jana waliionesha kidogo, this time wamei reveal lakini ishaonekana kuwa na issues . Kwanza juzi imeonesha poor response , angalia vizuri ile video jamaa ana bonyeza mara mbili tatu ndo ika respond , akaifungua kwenye map pale akabonyeza kama mara tatu ndo ika respond. So far Samsung wameificha hii simu maana tumezoea simu ikitoka inakaa display watu wana review zikiwa kwenye display na sometimes wanapewa wachache. Lakini hali imekuwa tofauti mpaka sasa hamna mtu si tech reviewer si mtu yeyote aliyeishika mkononi hata kwenye display, imefichwa . Hili ni tatizo, Ninafikiri Samsung hawakuwa tayari na hii kitu Bali wamekuwa forced na some market forces. Ndo maana nasema Samsung ni mabingwa wa vitu nusu nusu/ gimmicks

Hii video angalia kuanzia dk ya 3.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cnet wametoa hands on

Unaweza ukaiona vizuri one ui na galaxy fold inavyofanya kazi. Hasa hapo kwenye multitasking.
 
https://yicaiglobal.com/news/samsung-suspends-galaxy-fold-china-release-indefinitely

Samsung wamejaribu kufunika hili tatizo kwa kuongeza layer ya screen ambayo ni screen protector lakini inaonekana kushindikana. Simu mpya inakuja na screen protector na wanakwambia usiitoe ? kumbuka baada ya kui lounch hamna mtu aliishika mkononi mpaka baada ya mda kupita.... nilisema hili ni tatizo
 
Mkuu ni technology mpya, kitu ambacho kilikuwa haki exist kabla kwanini unataka kifanane kama na cha zamani?
 
Ni technology nzuri lakini kwa nini iingie sokoni ikiwa nusu nusu, kila mtu akiingiza sokini prototype zake huoni kwamba consumer ndo ataumia ? Hii si mara ya kwanza kampuni ya samsung kufanya mambo kama haya yaan kuleta vitu nusu nusu. Kumbuka ni simu ya around mil 6 za kitanzania ukiongeza kodi n.k

Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji wa technolojia naweza kusema ni mdau lakini masuala kama haya sikubaliani nayo
 
Kupush technology? Unahitaji public protoype kama hio kuweza kufanya breakthrough, na sio kwamba unagongewa mlango na polisi kulazimishwa ununue, bali unanunua hali ya kuwa unajua kitu gani unaenda kununua.

Hio simu imeanza kutengenezwa mwaka wa 8 huu nimemsikia MKB, huwezi ukawa na technology unaitest tu na machine kama hivi kwa miaka kibao bila kwenda kwa wateja
gif.gif

Technology kama hii inahitaji any means kuipush, ni kitu kipya tegemea challenge nyingi.
 
Naona samsung wamejishtukia, wameamua kutoitoa mpaka baada ya mwezi mmoja.

Hii simu pesa ni kubwa lkn matatizo mengi.
 
Wamefanya a very wise move. Ila kama asemavyo Chief-Mkwawa ,Compromises ni lazima na haziepukiki kwenye ulimwengu wa Tech. Yawezekana walijua pia kuwa Fold haikuwa tayari kuwa released on the market, ila ni market politics ndo ziliwalazimu. Mfano, before idea ya folding smartphones haijasamba kwenye market, watu walikua wana speculate tu kwamba ni idea/invention impossible kuwa na practically na easily implementation. Lakini for the last current years, tetesi zilianza kuvuma kwa kasi kwamba by 2018/2019 tunaweza kuwa na Folding Tablets, then Royole akatoa a working prototype kudhibitisha, then Huawei, ikaanza kubadili speculation za watu/market. Ila still market ikawa inasuasua kuaccept kuanza kusupport idea kutokana na facts kama bei, durability, practicality etc, Ndio maana Samsung ikabidi wawaishe bidhaa kwa market ili watu wasipoteze imani.
 
bado tunaisubiria ile huwaei fold nayo itakuwa na weekness gani
 
Kupush technology? Unahitaji public protoype kama hio kuweza kufanya breakthrough, na sio kwamba unagongewa mlango na polisi kulazimishwa ununue, bali unanunua hali ya kuwa unajua kitu gani unaenda kununua.

Hio simu imeanza kutengenezwa mwaka wa 8 huu nimemsikia MKB, huwezi ukawa na technology unaitest tu na machine kama hivi kwa miaka kibao bila kwenda kwa wateja
gif.gif

Technology kama hii inahitaji any means kuipush, ni kitu kipya tegemea challenge nyingi.

Mkuu hii naikataa kwa asilimia 1000% , kampuni kubwa lazima iwe na Quality control unit au dept na kazi yake ndo kama hiyo kuangalia bidhaa kama imekidhi vigezo vya kuingia sokoni, huwezi kutengeneza kitu hakifanyi kazi ukasema nilikuwa nai push sokoni ? Jiulize kila mtu akifanya hivyo itakuwaje ? tutaamini vipi kama hujafanya makusudi ? .. uyo MKBHD ameshangaa kwamba kwa nini watu wa kawaida tu wamegundua hilo tatizo mapema na huku samsung hawakuwahi kujua ? inaingia akilini kweli sehem sensitive kama ubora wa kioo samsung wasijue lakini first hand tu mtu wa kawaida agundue ? Kuna kitu hapa tuwe wakweli hata kama tunaipenda samsung. R&D kuchukua miaka nane siyo kigezo cha kuiingiza sokoni kitu incomplete, hata iwe miaka mia lakini kama bado ni bado huwezi kusema huu ni mda wa ku push sijui nini ni uongo, Dawa za ukimwi zingekuwa sokoni basi maana r&d yake itakuwa na more than 30 yrs.

Ukweli ni kwamba samsung wameingiza sokoni hii simu kwa sababu za marketing tu ili waonekane labda ndo wa kwanza au ku boost image ya kampuni ukichukulia kwamba technology ya simu kwa sasa haina vitu amazing sana, yan watu washazoea mambo mengi. Hiki ndo kiliwafanya wafanye hivi hamna sababu niyngine . Mbaya zaidi its priced at almost 2000 Usd.

Hili ni jambo la kukemewa kabisa
 
Video yake ya mwisho hii hapa

Kaelezea vizuri tu tatizo ni nini na msimamo wake

Na mkuu sijui una miaka mingapi ila mimi nimeshuhudia mwanzo wa technology nyingi. Watu wengi wanaweza kunisaidia wakongwe humu.

1. Simu za mwanzo za touchscreen zilikuwa resisitive hata kuandika sentesi ni tabu kwa muono wako zilitakiwa zisitoke kabisa, walitakiwa wakae nazo huko huko maabara mpaka vioo vizuri vitoke

2. Camera za zamani za simu zilikuwa ovyo sana hata kumuona mtu ni tabu unaweza kuangalia kushoto sample ya picha ya simu kwanza yenye camera j phone
JSH04-Camera-Phone-and-Normal-Camera-Cameraplex.png

Lakini still watu walipush technology hivyo hivyo.

3. Android wakati inatoka hata copy and paste ilikuwa haina, same kwa ios ilikuwa na built in apps chache tu, ila zilitoka hivyo hivyo na watu wakanunua mpaka leo zipo vizuri.

4. Wireless charging wakati zinatoka enzi za palm kuna wakati zilikuwa zinaunguza hadi simu, ila watu wakapush technology mpaka sasa technology imezoeleka.

Mifano ipo mingi mkuu, hakuna technology inayoanzishwa hapo hapo ikawa ipo bomba inabidi kuwe na early adopters kwanza kuwe na fix za hapa na pale mpaka ijae vizuri.
 
Baada ya hii coment uaibishane tena na huyo jamaa..

Kwa hiyo kuwa wa kwanza sokoni inatosha
Biashara matangazo kweli
Sishangai sana maana kuna bidhaa nyingi huwa zinatoka halafu faults zinatokea hata wiki haijafika
Mfano hai ni magari tena kampuni kubwa kubwa huwa zinarudisha magari kiwandani
 
Video yake ya mwisho hii hapa

Kaelezea vizuri tu tatizo ni nini na msimamo wake

Na mkuu sijui una miaka mingapi ila mimi nimeshuhudia mwanzo wa technology nyingi. Watu wengi wanaweza kunisaidia wakongwe humu.

1. Simu za mwanzo za touchscreen zilikuwa resisitive hata kuandika sentesi ni tabu kwa muono wako zilitakiwa zisitoke kabisa, walitakiwa wakae nazo huko huko maabara mpaka vioo vizuri vitoke

2. Camera za zamani za simu zilikuwa ovyo sana hata kumuona mtu ni tabu unaweza kuangalia kushoto sample ya picha ya simu kwanza yenye camera j phone
JSH04-Camera-Phone-and-Normal-Camera-Cameraplex.png

Lakini still watu walipush technology hivyo hivyo.

3. Android wakati inatoka hata copy and paste ilikuwa haina, same kwa ios ilikuwa na built in apps chache tu, ila zilitoka hivyo hivyo na watu wakanunua mpaka leo zipo vizuri.

4. Wireless charging wakati zinatoka enzi za palm kuna wakati zilikuwa zinaunguza hadi simu, ila watu wakapush technology mpaka sasa technology imezoeleka.

Mifano ipo mingi mkuu, hakuna technology inayoanzishwa hapo hapo ikawa ipo bomba inabidi kuwe na early adopters kwanza kuwe na fix za hapa na pale mpaka ijae vizuri.

Mkuu naona unajaribu kuwatetea samsung kwa nguvu zote na sidhani kama tunaelewana mlengo wa hii discussion, Jaribu kutofautisha Faulty na inferior products. Kwa nini tunaziponda tecno kila siku ila bado watu wanazitumia ? ni kwa sababu ni inferior ila siyo faulty. Hapa samsung wamechemsha.

Inferior
Hiyo folding screen ni inferior bado kwa sababu ya material na display kwa ujumla na hapa hamna tatizo sana kwa sababu ni kitu kipya wameingiza sokoni, hili siyo issue sana ukiachilia mapungufu yake mengi sana ikiwemo ukubwa wa simu na jinsi invyokunjika na ubebekaji wake bado ni tabu kulinganisha na smart zingine. Hapa hamna tabu sana

Faulty
Tatizo hapa ni faulty yan kwa kifupi wametengeneza kitu kuwarubuni wateja tu basi ila hicho kitu hakifanyi kazi. Nadhibitisha hili kwa mifano halisi, kwanza walishaionesha kabla hata ya reveal yake (Hii sijui lengo ilikuwa nini ),
Baadae wakai reveal ila cha kushangaza hawakuruhusu watu kuigusa zaidi ya kuiona kwenye vioo tu(Hapa kulikuwa na tatizo na walilijua na hili nililisema angalia uzi wangu wa nyuma, yan hata kabla ya haya matatizo nilisema kwamba dalili zinaonesha hii simu haijawa tayari).
Baada ya miezi ndo wakaitoa , dk o tu matatizo yakajitokeza, matatizo ambayo yako wazi kabisa hayahitaji uchunguzi mwiingi (Sasa jiulize wao hawakuitumia hata kidogo).

Haya ya kusema walishaitest mara nyingi na ile video ya machine inayoikunja na kuikunjua usiwaamini sana kwa sababu kama sijakosea ni mwaka jana tu samsung walikuwa na skendo ya kudanganya juu ya kamera iliyotumika kwenye picha flan , mwisho ikagundulikwa ile picha haikuwa ya simu (Sihitaji kuweka link hili linajulikana) na haya mambo yapo makampuni mengi tu

Ndo maana nasema hii move ni deliberate kabisa baada ya kuona project imekuwa ngumu wakaamua liwalo na liwe ila kiukweli haikutakiwa kuingia sokoni tena kwa bei ile.
 
Kudanganya kuhusu camera wote wanafanya na ni tofauti tunachozungumzia hapa.

Hapa tunaongelea new innovation, kitu ambacho kilikuwa haki exist duniani.

Unaweza tolea mfano ni kitu gani ambacho tecno ame innovate ambacho wengine hawajakifanya tukakiponda?

Inapotoka invention lazima kuwe na matatizo hili linajulikana na mpenzi yoyote wa technology, miaka 8 maabara ni mabilioni kama sio matrilioni yametumika inabidi kitu kiingie sokoni ili kuweza ku cover some cost vile vile feedback ipatikane ili watu waweze kuimprove zaidi.

Na hao kina MKB waliharibu simu zao kwa kubandua cover la juu la display ambalo walihisi ni protector kumbe walikuwa wrong, ni part ya display. Unaona hapa kitu kipya kinavyokuwa na matatizo. Watu walishakariri kwamba simu ikiwa mpya unabandua protector inayokuja nayo na kuweka yako, lakini kwa case hii ni tofauti.
 
Samsung fold iko wapi mpaka sasa ? Mwezi wa sita huu .........! What went wrong kwa hii simu ya dola 2000
 
Back
Top Bottom