Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Kumchukia Diamond kwa sasa Sawa na kujipunguzia siku za kuishi.
Najisikia furaha sana kuwa sehemu ya kizazi cha Tanzania kilichoshudia Mwanamziki wa Kitanzania akitikisa Africa.
Wakati wenzetu walishuhudia Taifa Stars ikicheza mataifa huru Nigeria mwaka 1980, sisi tunashudia kijana wetu akitingisha Africa.
Ningependa Kiba awe Diamond wa pili aachane na Team za Kijinga aanze kufanya mziki biashara sio furahisha genge.
Kiba Anza kuangalia mbele, la sivyo akina Wanjera watakupita hapo hapo na tuzo zako za kupendwa.!
Kule kwingine vp kiti bado hakijafutika vumbi tu?
Nimeurudia rudia weeee 😘
Hii video ni sheeeda....hongera sana diamond
nouuuuuuu nouuuuuu nouuuuuu
Noumaaaa!
Dogo anajuaUbunifu mzuri sna dah speechless
For the first time nathubutu kusema DIAMOND MKALI!
mi nimependa anavyoanza pale
sijui nini na nini
its diamond
beat ikapigwa moja matata
hahahahahahahahahaaaa usinikumbushe, sio kwa mbwembwe zile, Mungu nae anajua kuumbua vibaya nyieee,???? eti nimekuja kufuta vumbi kiti changu, mxiuuuuu!!! miaka mitatu unaranda randa tu mitaani kama uuubwaaa wa sokoni na kazi ya kuzalisha kila mtaa, nguvu huna akili hunaa, zote umemalizia kwa wanawake, alafu ujilete tuu kirahisi rahisi tuu, kisa umeskia mwenzako kavuka boda, oooh! nimekuja kufuta vumbi, heheheeeiyaaa utaramba vumbi mpaka ujutreeee!
kama ni kijana lazima utakuwa Teja la Unga kama ni Mzee ww ni Mchawi tena wa uswahilini kabisa
na usipoangalia kuna siku utakuja mkataa hata mama yako aliekuzaa!
Chuki gani hzo
well said....kama RONALDO
Frankly speaking!! Yaa Kawaidaaa sanaa tena Sana naweza kusema NITAMPATA WAPI that video is super hot than this one! Kwa sababu hii kuu
1. sauti imemezwaa na beat ya nahrel. 2. Amejitahid kufanya combination ya masta mbalimbali ili iwe inavutia ila kwa uhalisia ni Normal thing nothing Big.
3. Ubunifu Wa mashairii unazidii kupungua sijui inakuajee.
Note:this are my opinion sina team please, naongea nachokionaa na ninavyomjuaa.
Diamond kamaliza kazi. Sasa nani tena anayeitwa mpinzani hapa?
Safii Diamond umetisha, yule bint mchawi pamoja na kuitwa huku kashindwa kutia timu. Yupo kule kwenye gofu lao anamwaga matusi. Poleni mtaa uleee.
Najutaaaaa kumfahamu huyu kijana sijui anaitwa Domo, Malaya,hakusoma,Limbukeni,Mjinga tu.
Mpaka sasa siamini kama hi video ni yake atakuwa kaiba kwa mtu hii.
EEEE MWENYEZI MUNGU, MPATIE MAISHA MAREFU HUYU KIJANA.. Amen
ha ha ha akimaliza kutunga UZI aje aone SINDANO hapa