Mkuu hii kitu hata mimi nilishaistukia siku nyingi kwani sasa hivi kunaongezeko la ghafla la wanachama kwa siku ni zaidi ya watu 100 wanajiunga na thread nyingi au comment za hawa juniour member zinaonekana kama zinasupport magamba. tuwe makini sana magamba wpo kazini!!!!Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??
Kwanza hawana ethics wanatusi ukiongelea upinza utadhani umeongelea uhaini mimi kibinafsi siwaelewi na waliowenge member,Junior member!!lakini ngoja tusubiri!Mkuu hii kitu hata mimi nilishaistukia siku nyingi kwani sasa hivi kunaongezeko la ghafla la wanachama kwa siku ni zaidi ya watu 100 wanajiunga na thread nyingi au comment za hawa juniour member zinaonekana kama zinasupport magamba. tuwe makini sana magamba wpo kazini!!!!
Join Date : 14th September 2011Khaaa yaani mnataka kila kitu kiwe kina kubaliwa ?
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??
niko nyuma yako !!naunga mkono hoja kwa 55%
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??
Jamani wengine na heshima zetu kutuia mapandikizi sio nidhamu atiii.....
anyway, kwenye msafara wa kenge samaki tupo
niko nyuma yako !!
Jamani wengine na heshima zetu kutuia mapandikizi sio nidhamu atiii.....
anyway, kwenye msafara wa kenge samaki tupo