New members nimapandikizi?

New members nimapandikizi?

Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale lwaliopewa Ban ndani ya JF??

Kwani ni chama gani chenye hati miliki ya JF mpaka utumie neno Kupandikizwa??
 
Hebu wataje...usiongee tu bila evidence!
 
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??

Pius Msekwa alishawahi kusema (nadhani miezi 5 au 6), kupitia media kwamba JF ni tishio la usalama. Kitisho kikubwa, nadhani wememwaga watu wao kujaribu kuvuruga mustakabali mzima wa jf, hopeful watashindwa.
 
hahafu mwezi huo huo wa sita na wewe ujajoin JF! dah...Msekwa ashukuriwe sana..kawaleta wengi humu
 
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??

Sisi wageni mbona mnatubagua?
 
Nionavyo new member wengi ni ID za pili za baadhi ya member. Kuna kipindi watu wanafahamiana na kuondoka ile Rula anayoweza kuichora. Hivyo wengine ili kukabiliana na hali hiyo wanakuwa na ID zaidi ya mbili moja anakuwa mpole nyingine ya kujilipua!
 
Mbona jamani mnapenda kubishana kila wakati?
Nimeshasema tena kwenye uzi ambao umefanana na huu,ambao unasema kuwa
GREAT THINKER NDANI YA JF WANAFIKA 100 TU.
Kwahyo mimi nasema hivi jf kila mtu anajua lengo lililomleta kwahyo kushambuliana kuwa huyu ni mamluki au siyo great thinker siyo inshu,inshu ni kuwa kila kitu hapa duniani lazima kipate changamoto,so mimi naona bila changamoto ndani ya jf hatutakuwa na mawazo mazuri au yenye tija nzuri,kwahyo tukubaliane na changamoto hzo wapendwa wangu.
 
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??

KakaKiiza nina RB yako kesh kaa mkao wa kula unakuja kukamatwa midas ya lunch! hahaha. Magamba mnaichukia kwa nini jamani? acha hizo mkuu.
 
kwahiyo tunatakiwa watu wote tuipende Chadema? Nalog off
 
KakaKiiza nina RB yako kesh kaa mkao wa kula unakuja kukamatwa midas ya lunch! hahaha. Magamba mnaichukia kwa nini jamani? acha hizo mkuu.
Nimekumisije???bora uilete hiyo RB na mimi nipate kukuona kidogo!!!But ntakutafuta ila ugumu wa maisha ndo unanikimbiza my CD
 
Back
Top Bottom