Hivi ile China iliyo jirani na South Korea ingekuwa ndo ipo ilipo Kenya; we unafikiri hayo mamia kadhaa ya millions tusingefika?! Japan pekee wana population ya zaidi 120 M... kwahiyo, ukanda ule ukikubalika hata kimtindo, hizo views milioni mia kadhaa utagonga!Hao ni wachache sana Mkuu,inabidi na sisi tupige kuanzia viewers 70M na kuendelea,nimeongea hivo baada ya kuwa napitia wasanii wa nchi nyingine za bara Asia mf South Korea yani unakuta nyimbo ya kawaida ila viewers 100M+,na ifahamike kule msanii anaefahamika zaidi Duniani ni mmoja tu,sisi tunae diamond wengine wengi,so inabid tuwape support ya kuwa tuna stream videos zao,badala ya ku-download na kuzi save
Naona Waafrika siku hizi na wenyewe wana dab!
That's what's up...keep putting ATL on the map [as if it wasn't already there anyway].
Halafu hapo mwisho kwenye simba ni dongo kwa mtu au..?
Btw, just AN FYI, dabbing originated in Atlanta....that's for you suckers who don't know.
yani upo akilini mangu mkuu,me siongezi kituTuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?
Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!
Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
Number one ndio nyimbo iliyo mtoa diamond tena ilikuwa remix kwa style hihii sasa Huwezi kuchukua number one sasa uka compare na hii nyimbo!!! Hii ipo mbali! Msitake kuangalia soko la Tanzania Ambalo Diamond amesha tusua sasa anaangalia kimataifaa!! Hii nyimbo ni rahisi hata kuipigia show!
Angalieni wenzetu wanatupita wapi tusibaki kung'ang'ania kuimba ili bibi wa kijijini kwetu iringa aelewe nini Diamond anaimba! Hapana sasa watu wanataka kuona wewe una nini Kipyaa!! Hii nyimbo yeyote yule atachezeshwa kichwa no matter anaielewa au haelewi kinacho imbwaa!!! Shikamoo Psquare sio kwa ushirikiano huo mlio onesha bila hiyanaa!!
Mbona kwaito tulizipenda bila kuelewa nini wanamanisha? Sasa wewe nyimbo ipigwe halafu usichezeshe hata shingo basi ww ni gogo!!!
Ila twende mbele Turudi nyuma GOOD FATHER! ANAJUA! SHIKAMOO GOODFATHER MANA SIO KWA KUPANGILIA RANGI HUKO!!! Daaa colours za hii video sio za kitoto ujue!
Da bdo tuIweke kwenye bufaaa sikiliza halafu njoo hapa!!!! Au subirii baada ya siku 3 kama huna bufa halafu uje hapa!
kila niki-click link ya next page nisome comments,narudia kwanza kucheki hii chupaKisa?????!!!!!
Eeeeh na bado pita tu tuachie sie na utamu wa kideo mtu hutaki iishe
Where is dislike bittom?Africa unatuka ngoma Kali ila viewers youtube wachache,msanii akijitahidi sana 2M
me naisubiri collabo na neyo tu ipo show yenu ipo youtube ila kwa hapa hapana niwe mkweli nyimbo haina mpangilio haielewek nani aanze nani afuate kuimba mmeimba vizuri ila haijaw nzur nyimbo zote za diamond ukisikia mara moja lazima uipende kwa hii kiualisia haijatisha kiivyo labda kwa promo
Click link YouTube utaionaWhere is dislike bittom?
Labda kama kateleza,kuanguka sasa hv cyo rahisi cz ile track alofanya na Neyo ni kali asee. Natumai itapokamilika itasumbua sana.Nami nakuunga mkono mkuu.. Kachemsha mbaya... Yaan ukchek zlzopta na hii utakubariana na mm kua sasa mond anaenda kuanguka kmuzk....
Mhuu ile na Neyo itatwanga Billboard charts asee. Neyo kaimba vema sn!me naisubiri collabo na neyo tu ipo show yenu ipo youtube ila kwa hapa hapana niwe mkweli nyimbo haina mpangilio haielewek nani aanze nani afuate kuimba mmeimba vizuri ila haijaw nzur nyimbo zote za diamond ukisikia mara moja lazima uipende kwa hii kiualisia haijatisha kiivyo labda kwa promo
Ipo mbona ila yeye haimuhusu kwa sababu sio nyimbo yakeCollabo na mafikizolo imepotelea wapi...imefikisha hata miez mitatu kweli