New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

Nice song p.square chrous wameimba km lioneil richie all night long
 
Sio..baya lkn ni muhimu kumaintain mizizi ya mziki wako ndipo utaheshimiwa zaidi kama kina manu diba go,oliver mutukudzi nk
 
Naona Waafrika siku hizi na wenyewe wana dab!

That's what's up...keep putting ATL on the map [as if it wasn't already there anyway].

Halafu hapo mwisho kwenye simba ni dongo kwa mtu au..?

Btw, just AN FYI, dabbing originated in Atlanta....that's for you suckers who don't know.
Dabbing is gay lol
 
me naisubiri collabo na neyo tu ipo show yenu ipo youtube ila kwa hapa hapana niwe mkweli nyimbo haina mpangilio haielewek nani aanze nani afuate kuimba mmeimba vizuri ila haijaw nzur nyimbo zote za diamond ukisikia mara moja lazima uipende kwa hii kiualisia haijatisha kiivyo labda kwa promo
 
Zigo remix mpaka sasaiv ina 6m point kadhaa sasa sjui unazungumzia viewers wepi
Hao ni wachache sana Mkuu,inabidi na sisi tupige kuanzia viewers 70M na kuendelea,nimeongea hivo baada ya kuwa napitia wasanii wa nchi nyingine za bara Asia mf South Korea yani unakuta nyimbo ya kawaida ila viewers 100M+,na ifahamike kule msanii anaefahamika zaidi Duniani ni mmoja tu,sisi tunae diamond wengine wengi,so inabid tuwape support ya kuwa tuna stream videos zao,badala ya ku-download na kuzi save
 
Wamemlipa Lionely Richie kwa kibwagizo hizo cha karamu, fiesta forever cha wimbo wa All night long... the comedy huita mambo ya copy and paste umefuria...
Hizi simulizi za copy & paste hazijaanza leo na kwa maana hiyo, nyimbo zake zote atakuwa ame-copy na ku-paste according to you guys!
 
Back
Top Bottom