New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

Hata Kiba alisema....Diamond haimbi mziki kama wake hivyo hajafikiria kufanyanae kolabo.

Lakini Kiba huyo huyo anafanya kolabo na Mziwanda, Mr Blue....hahahaha. Utadhani hao anaofanyanao kolabo wanaimba staili yake!
Kiba kaingiaje teh!
 
Nacomment kama shabiki wa Diamond: video ni kali sana but audio ni ya kawaida, in short wimbo wa mwisho mkali wa Diamond ni NANA, zilizofata baada ya hapo sizielewi
 
Ngoma ni ya Diamond Platinums. Siyo yao wote. Ngoja nikupe somo kidogo ndugu japo naamini ni dogo lakini angalau litakusaidia.

Mtu akishirikishwa ngoma basi itandikwa "somebody featuring someone" kifupi huwa inaandikwa "somebody ft someone" na ngoma itatambuliwa kama ya someone kamshirikisha somebody.

Lakini kama ngoma ni ya wote wawili basi itaandikwa "someone × somebody" kama ulivyoandika na ngoma itatambuliwa kuwa ya wote.

Ahsante.
 
Wenye roho mbaya mnakaribishwa kutoa mawazo yenu. Sisi tunarekodi, nyumba ya pili kwisha. Kwa mwendo huu, KTMA mwaka huu haitokuwepo tena.
 
Africa unatuka ngoma Kali ila viewers youtube wachache,msanii akijitahidi sana 2M
 
Back
Top Bottom