New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

Ki ukwel mm hii song cjui kidogo bdo haijaniingia hata kidogo au nyie mnaisikilizia nn maana m siielewi kabsa
 
Ki ukwel mm hii song cjui kidogo bdo haijaniingia hata kidogo au nyie mnaisikilizia nn maana m siielewi kabsa
Iweke kwenye bufaaa sikiliza halafu njoo hapa!!!! Au subirii baada ya siku 3 kama huna bufa halafu uje hapa!
 
The beat was produces by SHIRKO from Tanzania.....

Good for him.
 
Mwimbo nausikiliza na kuangalia kideo ni ninarudia hadi nayaonea huruma macho yangu...hadi raha....happy me....thanks our Darling Simba na P Square...love...love...kidogo kidogo...mapenzi nayo mwaaaaaaa
 
Back
Top Bottom