Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Tunapeana promo za ajabu tu . Na kutiana moyo kwa vitu vinavyohitaji criticism . ..
Nimechoka kumsikia diamond huyo huyo siku ,nimekosa ubunifu kabisa katika katika hiuo ngoma .
Nataka nikuambie hivii ,sikiliza Ngoma ya Snura inaitwa Shindu ni mpya halaafu fananisha na hiyo ya diamond .
Diamond unaimba but try to change uwe kidgo mbunifu @list mtu akisikiliza apate vionjo vingine .