Ahahaaah...Even 'lol' is gay!
Music mzuri unapotea kwa kasi...ndio mana master J alistaafu u producer
Tunaopenda good music uko mbele tutapata shida sana....
Mkuu hizo device za kuzama youtube bongo wanazo watu wangapi? Wenzetu almost kila mwanafamilia anadevice inayoweza kuaccess internet plus population yao hizo views sio ajabu......kibongo bongo ukivuka tu mbagala kuendelea mbele smart phone moja kila baada ya nyumba 10......Hao ni wachache sana Mkuu,inabidi na sisi tupige kuanzia viewers 70M na kuendelea,nimeongea hivo baada ya kuwa napitia wasanii wa nchi nyingine za bara Asia mf South Korea yani unakuta nyimbo ya kawaida ila viewers 100M+,na ifahamike kule msanii anaefahamika zaidi Duniani ni mmoja tu,sisi tunae diamond wengine wengi,so inabid tuwape support ya kuwa tuna stream videos zao,badala ya ku-download na kuzi save
Kweli mkuu umeongea kitu,kule internet ni moja ya basic needs,Mkuu hizo device za kuzama youtube bongo wanazo watu wangapi? Wenzetu almost kila mwanafamilia anadevice inayoweza kuaccess internet plus population yao hizo views sio ajabu......kibongo bongo ukivuka tu mbagala kuendelea mbele smart phone moja kila baada ya nyumba 10......
Halotel kuanzia saa sita YouTube bure,tumsapoti simnbaMkuu hizo device za kuzama youtube bongo wanazo watu wangapi? Wenzetu almost kila mwanafamilia anadevice inayoweza kuaccess internet plus population yao hizo views sio ajabu......kibongo bongo ukivuka tu mbagala kuendelea mbele smart phone moja kila baada ya nyumba 10......
Hahahahahahahaha USA baby....Naona Waafrika siku hizi na wenyewe wana dab!
That's what's up...keep putting ATL on the map [as if it wasn't already there anyway].
Halafu hapo mwisho kwenye simba ni dongo kwa mtu au..?
Btw, just AN FYI, dabbing originated in Atlanta....that's for you suckers who don't know.
Una tataizo la ufahamu na kuelewa maswali...Hizi simulizi za copy & paste hazijaanza leo na kwa maana hiyo, nyimbo zake zote atakuwa ame-copy na ku-paste according to you guys!
Ule wimbo mpya wa taifa umetoka tayari. karibu ujionee mwenyewe
, Diamond mnyamwezi mwenyewe katisha mbaya kabisaHata kama unataka kujidai wewe ndo mwenye ufahamu, lakini endapo ungekuwa na huo ufahamu usingeuliza hilo swali hapa...Una tataizo la ufahamu na kuelewa maswali...
Nimeuliza wamemlipa Lionely Richie?
Shabiki Maandazi kweli wewe....Hata kama unataka kujidai wewe ndo mwenye ufahamu, lakini endapo ungekuwa na huo ufahamu usingeuliza hilo swali hapa...
c'rap!Shabiki Maandazi kweli wewe....