New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

New Hit: Diamond Platnumz ft P Square

Hao ni wachache sana Mkuu,inabidi na sisi tupige kuanzia viewers 70M na kuendelea,nimeongea hivo baada ya kuwa napitia wasanii wa nchi nyingine za bara Asia mf South Korea yani unakuta nyimbo ya kawaida ila viewers 100M+,na ifahamike kule msanii anaefahamika zaidi Duniani ni mmoja tu,sisi tunae diamond wengine wengi,so inabid tuwape support ya kuwa tuna stream videos zao,badala ya ku-download na kuzi save
Hivi ile China iliyo jirani na South Korea ingekuwa ndo ipo ilipo Kenya; we unafikiri hayo mamia kadhaa ya millions tusingefika?! Japan pekee wana population ya zaidi 120 M... kwahiyo, ukanda ule ukikubalika hata kimtindo, hizo views milioni mia kadhaa utagonga!
 
mi binafsi hua naexpect maneno ya timu fulan hv mr chibu aka simba anapotoa cheche za moto ka hili #kidogo hahaha tukumbuke Nana ilipotoka walisema hivohivo ooooh "video nzur ila audio mbovu" but baadae ikaja kua most hited song in EA and Africa.nawashauri nyie mnaotokwa mapovu coz of Mr siiimbaa chukua video/audio sikiliza ka Mara tatu au zaid tena angalau kusabufa aseeee chali yangu lazima upige salute
 
Naona Waafrika siku hizi na wenyewe wana dab!

That's what's up...keep putting ATL on the map [as if it wasn't already there anyway].

Halafu hapo mwisho kwenye simba ni dongo kwa mtu au..?

Btw, just AN FYI, dabbing originated in Atlanta....that's for you suckers who don't know.



migos
 
Hebu tuweke ushabiki pembeni. Hivi mziki ni video au uimbaji? Mimi navyojuwa ngoma nzuri iwe audio maana haileti maana video iwe inabeba uzuri. Sasa mimi km sijui kuimba nikaenda kushoot bonge la video nitakuwa mwanamziki? Sasa turudi kwenye hii ngoma kwa mimi dissapointed maana nyimbo nzuri ukiisikia tu hii nimeshaisahau. Utasikia mtu watu nje wanataka hivi mimi nataka useme kama wewe umeipenda sio nje ndio wanapenda hivi. Ukweli kabisa nilitegemea bonge la ngoma lakini tofauti kabisa ni video tu. Unaona kabisa ngoma ilifanywa tuu haraka bila umakini ndio wakaja na kalamu fiesta yaani hovyo.
 
ahahaha daa! ngoma kali sana,nilipoisikiliza kwenye simu ilikuwa kali,nilipoisikiliza kwenye bufa ikawa kali mara kumi nikaamka kuyarudi hadi jasho na hii baridi yote.hii ni hit songt,halaf SIMBA hivi vimaneno kwenye verse zake sijui anavitoa wapi ndo vinavyonogesha wimbo.
 
Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?

Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!

Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!

Number one ndio nyimbo iliyo mtoa diamond tena ilikuwa remix kwa style hihii sasa Huwezi kuchukua number one sasa uka compare na hii nyimbo!!! Hii ipo mbali! Msitake kuangalia soko la Tanzania Ambalo Diamond amesha tusua sasa anaangalia kimataifaa!! Hii nyimbo ni rahisi hata kuipigia show!

Angalieni wenzetu wanatupita wapi tusibaki kung'ang'ania kuimba ili bibi wa kijijini kwetu iringa aelewe nini Diamond anaimba! Hapana sasa watu wanataka kuona wewe una nini Kipyaa!! Hii nyimbo yeyote yule atachezeshwa kichwa no matter anaielewa au haelewi kinacho imbwaa!!! Shikamoo Psquare sio kwa ushirikiano huo mlio onesha bila hiyanaa!!

Mbona kwaito tulizipenda bila kuelewa nini wanamanisha? Sasa wewe nyimbo ipigwe halafu usichezeshe hata shingo basi ww ni gogo!!!

Ila twende mbele Turudi nyuma GOOD FATHER! ANAJUA! SHIKAMOO GOODFATHER MANA SIO KWA KUPANGILIA RANGI HUKO!!! Daaa colours za hii video sio za kitoto ujue!
yani upo akilini mangu mkuu,me siongezi kitu
 
Iweke kwenye bufaaa sikiliza halafu njoo hapa!!!! Au subirii baada ya siku 3 kama huna bufa halafu uje hapa!
Da bdo tu
Nahc brother hpa ustar utambeba ila nyimbo hakuna kipind kile anaimba kamwambie alikuwa anatumia akl sahv anatumia nguvu ya pesa tu
 
Ipo haja ya kuwekeza kwenye Audio production kwenye muziki wetu. Nyimbo zetu karibu zote kuna ujazo fulani zinakosa
 
Africa unatuka ngoma Kali ila viewers youtube wachache,msanii akijitahidi sana 2M
Where is dislike bittom?
me naisubiri collabo na neyo tu ipo show yenu ipo youtube ila kwa hapa hapana niwe mkweli nyimbo haina mpangilio haielewek nani aanze nani afuate kuimba mmeimba vizuri ila haijaw nzur nyimbo zote za diamond ukisikia mara moja lazima uipende kwa hii kiualisia haijatisha kiivyo labda kwa promo
 
teh teh! kwa mzigo huu,naona timu pinzani comments zao zinaanza na "mimi ni shabiki wa mondi lakini...." "mimi ni team diamond lakini ooh sijui nini" "mara ooh mimi mzalendo lakini sijui nini na nini" (mtu anayefurahia ukikosa tuzo na anakasirika ukifanikiwa anaweza comment nini ukamsikiliza kama ushauri?) mmeamia kwa mkopo sio?
 
mmmmmhhhh speechless ,kweli maisha ni mchezo wa kutumia nafasi,ukipata nafasi ya kubutua,butua haswa kweli kweli
 
Collabo na mafikizolo imepotelea wapi...imefikisha hata miez mitatu kweli
 
Nami nakuunga mkono mkuu.. Kachemsha mbaya... Yaan ukchek zlzopta na hii utakubariana na mm kua sasa mond anaenda kuanguka kmuzk....
Labda kama kateleza,kuanguka sasa hv cyo rahisi cz ile track alofanya na Neyo ni kali asee. Natumai itapokamilika itasumbua sana.
 
me naisubiri collabo na neyo tu ipo show yenu ipo youtube ila kwa hapa hapana niwe mkweli nyimbo haina mpangilio haielewek nani aanze nani afuate kuimba mmeimba vizuri ila haijaw nzur nyimbo zote za diamond ukisikia mara moja lazima uipende kwa hii kiualisia haijatisha kiivyo labda kwa promo
Mhuu ile na Neyo itatwanga Billboard charts asee. Neyo kaimba vema sn!
 
Hongera kwa Mtanzania mwenzetu big up sana endelea kukaza buti ktk mafanikio den do charity ili Mola akuzidishie zaidi na zaidi
 
Kijana wake kamfunika alieimba matatizo,diamond wimbo mbaya video nzuri,ila siku hizi watu wanasifia video badala ya mashairi
 
Hahah naomba uongozi wa jamii forum uongeze dislike button kwa watokwa povu maana naona wanahangaika sana.. eti utakuta mtu anasema haelewi kilicho imbwa, tena utakuta uyo ambae anasema haelewi kilicho imbwa ndo wakwanza kucheza akiskia kwaito za wa south africa, sasa sijui anaelewa au vp.. jaman tuungane kupeperusha hii bendera
 
Back
Top Bottom