Nacomment kama shabiki wa Diamond: video ni kali sana but audio ni ya kawaida, in short wimbo wa mwisho mkali wa Diamond ni NANA, zilizofata baada ya hapo sizielewi
Mwimbo nausikiliza na kuangalia kideo ni ninarudia hadi nayaonea huruma macho yangu...hadi raha....happy me....thanks our Darling Simba na P Square...love...love...kidogo kidogo...mapenzi nayo mwaaaaaaa