PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,313
😇😇😇😇😇Zuchu huyuhuyu?
Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy robo la kutokea
Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
Diamond safari hii ametomb* Moto asee!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mapenzi ya mtu na bosi wake kunakuwa na uzembe mkubwa Sana kwenye kazi..Niliwahi kumiliki saluni ya kike nikaingiwa na tamaa na mfanyakazi niliyemweka asimamie saluni,kumbe nae alikuwa ananitegeshea mbususu yake ili afanye saluni ndy robo la kutokea
Kilichofuata ni hasara Kwa kwenda mbele,kila siku analalamika Hana hela ya Kula namwambia chukua ya saluni..kilichofuata baada ya miezi sita nilifilisika.Mpaka leo nimebakiwa na mataulo tu ya kutosha ghetto km kumbukumbu
Diamond safari hii ametomb* Moto asee!!
Hamna chochote strategy za biashara zao ziende.Wakuu nipo Mombasa kikazi Sasa nyumba ya mwenyeji wangu niliyefikia n MZANZIBAR kwakuzaliwa ila n raia wa Kenya
Sikujua Kama mwenyeji wangu anaundugu wa karibu na bi Khadija kopa narud kwa majukumu yangu namkuta mama kopa kaleta taarifa ya mwanae zuhura kuolewa na kadi za mwaliko zimeletwa
Sasa sijadososa muoaji n Nani Kwan imekuwa Siri mnooo
Za ndaaani zinasema yule ceo wa radio maarufu hapo bongo na mmiliki wakiwanda cha muziki ndye muoaji
Kama Ni kweli basi zuchu KAWAWEZA HADI WATU WAZIMA WOTE na makungwi wa mapenz hapo bongo na Kenya na Uganda
VIPI WENZANGU MMEAMBIWA SARE ITAKUWAJE !
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zuchu huyuhuyu?View attachment 2104006
Thats too obvious...Mnachezewa sana wadau wa burudani..Mara paap,kumbe ni Kiki ya Ngoma mpya ya zuchu ft diamond platinum