jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,980
- 4,284
mkuu kwa faida yako ni kwamba.mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani vatican, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.ndiyo maana wataalam wa management wanasema the first managemnent in the world was copied from roman catholic system.nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
ni kweli mkuu sio kama serikali yetu ambayo haina hata idadi ya raia wake badala yake watu wanabuni namba tu!