MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Hili nalo linastahili kuwa kwenye jukwaa hili?...upuuzi mtupu... tunahitaji serious politics hapa....
Mujahedina nini?
remember that man will not live by bread alone.
Hili nalo linastahili kuwa kwenye jukwaa hili?...upuuzi mtupu... tunahitaji serious politics hapa....
Hiyo picha ni uchakachuaji mtupu (photoshop) kwa kuunganisha vipande vitatu yaani picha ya pope, watu na hiyo bendera)! Mambo ya digitali hayo!
![]()
· TheUnhivedMind on March 13, 2013 at 10:12 pm said:
This shows the Jesuit power behind the Vatican as we have always warned you about. It is quite obvious that Adolfo Nicolas SJ the Jesuit General booted his subordinate puppet Pope Benedict XVI and replaced him with this Jesuit soldier, Jorge Mario Bergoglio a shock trooper. For the first time, the Jesuit Templars are showing their outright power. Notice they keep saying he is from the New World, if we add order to the end we have New World Order.
This is Jesuit trick in order to bring gullible sheep back to the Vatican with a supposed Pope that is more for the modern World with a modern thinking. Benedict XVI was too wrapped up in this paedophile issue and this was not doing the Holy See any good amongst other things and thus he needed to go with the excuse of health. Even the bringing home of the Latin Kingdom in 1993 by Pope Benedict XVI as Cardinal Ratzinger could not stop the Jesuit General from removing him.
I did wonder if Angelo Scola was to be downtrodden in this election due to the way Pope Benedict XVI was booted out. Angelo Scola was being groomed by Benedict XVI for the Pope position even though Scola did not want the position knowing he would be assassinated if he got the position since he is a Venetian. What we have instead is an old man with illness put in place, this does not make any sense unless you know that this Pope should be a short term. Maybe the Jesuits do not want to have the hassle of an assassinated Pope but must have an excuse for a short Papacy before the final Pope arises who will end up being the risen Horus after being slayed and rising again. The illness will not be used to aid subordination since all Jesuits are totally subordinate to the Order and its Jesuit General.
Remember whilst others were going with Peter Turkson, I went with Angelo Scola since 2009 and a while after Scola was made the Archbishop of Milan the largest diocese in Europe and the path towards the Papacy. Then we heard about the assassination plots that were leaked naming Scola as someone who was to be assassinated after arguments that he was being groomed to be the Pope. So naysayers do not attack my past information in order to try to discourage people from my valuable work.
Nadhani umepewa link ya video pia.. nayo ina pichaduka?
Mashehe wakiipata hii picha mihadhara kila siku thnls God wengi ni vilaza JF hawaji
Kwanini shekhe Ilunga asiende Vatican aue mapadri na makadinali wengi badala ya kumwandama pengo mwenyewe hapa?
sisi tumetulia zetu kimya kabisa,
ulikuwa wala huna haja ya kutugusa na kutusakama waislam,yan watu huwa hawariziki bila kutuchokoza na kutukejeli waislam,sijui tumewakosea kitu gani,
kwani kuna ubaya gani mimi kuwa muislam na wewe kuwa mkristo?
Watu siku hizi bila haya,bila aibu wanapandikiza kebehi na dharau za kidini..!
Imeshakuwa fashion sasa kuwadhihaki waislam na kuwapa majina mbali mbali yenye machukizo,
lakin kila mtu yuko huru kuamini kile kinachompa peace of mind,basi hongera yako ww kwa kupata uzima wa milele na jehanam ni yetu sisi waislam..
Ufurahi wewe..
Mh! Ya kweli hayo? Picha hii haijachakachuliwa? Waitaliano na wajerumani waache tu gumbendera gwa mwafrika gunakaribia Pope?
Islamic Hate and malice. Yaackhii ndiyo hatari ya vilaza wa JF kwani hata aliyoyasema Sheikh Ilunga hawayaelewi wanayaelewa ya Pengo , kazi kweli
HALAFU VIJAHIDINA ETI VINAJIFANYA KUTAKA HAKI SAWA NCHI YENYE RAIA MIL 45, MIL 14 WOTE WAKATORIKI, MIL 11 WALOKOLE NA WARUTHERI, MIL 3 WASABATO NA MASHAHID WA YEHOVA, TAYARI NI ZAID YA 55% BADO WAPAGANI WAHINDU WABAHAI,
HAKI SAWA KWA WAISLAMU NA WAKRISTO NI NDOTO ISIYOTIMIA, LABDA MAREKANI NA VATICAN ZIGEUKE IRAN :behindsofa:
ndio maana kile kipengele hakikua na tija kwenu,mngewaacha wenye kuhitaji waendelee nalo kama vile ruzuku inavyoenda kwenye taasisi za kidini! na hao wasio batiza watajuaje wapo wangapi?waende RITA?kuna tofauti gani ya RITA na NBS maana zote taasisi Za govt