New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Hiyo picha ni uchakachuaji mtupu (photoshop) kwa kuunganisha vipande vitatu yaani picha ya pope, watu na hiyo bendera)! Mambo ya digitali hayo!

Pope-Francis-inauguration-Mass.jpg



"Tomas! kwa kuwa umeniona umesadiki, heri yao wasioona na kuamini."

Mama Mdogo
Labda Mama kilichokuchanganya ni kuona pic moja tu, kumbuka hulka yangu si kuweka mambo ya vijiweni, najiheshimu na siwezi kudhalilisha ukweli wa tukio kubwa kama hili.


Mwajua aliyeweka habari hii yupo kwa nini msiniulize niwape ukweli, sasa hizo picha zaidi ya tatu zinazoonyesha bendera ya Tanzania bado Illustrated Photoshop Art Work? Mimi sina tabia hiyo, ni ukweli tu, na waliofikiria hivyo angalieni hizo taswiras nyingine mpate picha. Pope ni wa dunia nzima na mataifa mbalimbali yaliwakilisha. Angalieni kielelezo kingine cha idadi ya Wakatoliki duniani.
 
Hili nalo linastahili kuwa kwenye jukwaa hili?...upuuzi mtupu... tunahitaji serious politics hapa....

images

Pope akivishwa pete ya Kipapa

Tukio ambalo limetokea katika ulimwengu huu na huyo anaye diplomatic wake hapa nchini anayetambuliwa kama anawakilisha Vatican State.
 
Pope-Francis-inauguration-Mass.jpg


Mwajua aliyeweka habari hii yupo kwa nini msiniulize niwape ukweli, sasa hizo picha zaidi ya tatu zinazoonyesha bendera ya Tanzania bado Illustrated Photoshop Art Work? Mimi sina tabia hiyo, ni ukweli tu, na waliofikiria hivyo angalieni hizo taswiras nyingine mpate picha. Pope ni wa dunia nzima na mataifa mbalimbali yaliwakilisha. Angalieni kielelezo kingine cha idadi ya Wakatoliki duniani.

Sasa mada inaanza kueleweka baada ya idadi ya picha kuongezwa; tunataka ueledi siyo kutuletea taarifa reja reja.
 
Sasa mada inaanza kueleweka baada ya idadi ya picha kuongezwa; tunataka ueledi siyo kutuletea taarifa reja reja.

images


Katika utangazaji tunaanza breaking news kwa audience, baada ya hiyo supu ndo kinafuata chakula chenyewe. Tukileta chakula chote pamoja na supu wengine uchu wa nyama na vikorombwezo vingine wataanza kuvunja taratibu za ulaji mezani kwa kuiruka supu na kukimbilia mapochopocho kabla hawajaamsha shauku ya kula na kulipasha joto tumbo lijiandae kupokea chakula. Ingawa hii inatofautina na utamaduni maana kuna tamaduni za matifa mengine huanza na matunda, wengine huanza na supu, wengine humalizia na pudding, basi mambo ni mchanganyiko tu.

Ndio maana ukienda Marekani fanya ya wamarekani na Ukiwa ulaya fanya ya Ulaya.
Ulaya jaribu kuheshimu utaratibu waliokuwekea mezani uma kushoto na kisu kulia,
lakini wamarekani hawana adabu mezani,they transfer fork from left hand to right hand. Hahahahahahaha!

:bounce:Haya nimekupa kibwagizo hicho Mama Mdogo:bounce:​
 
Mugabe noma nae alikuwepo kwake hizi ni golden chance kwake.
 
Mtasababisha maafisa wa ubalozi na wizara ya maliasili na utalii wafoji risit za allowance, kuonyesha walikuwepo kuitangaza Tanzania.

Mi kilichonifurahisha ni show ya usalama. Huwa napenda sana hizo show aisee.
 
Niliiona bendera ya Tanzania kwenye moja ya taarifa za CNN kuhusu misa ya Jana.
03631203.jpg


images
images


Wengine tuko wavivu kidogo kuangalia news na kupekuapekua nini kinachoendelea duniani, ukileta kitu ambacho hawakukifirkia baso kitabatizwa jina la uchakachuaji.
 
Mashehe wakiipata hii picha mihadhara kila siku thnls God wengi ni vilaza JF hawaji

sisi tumetulia zetu kimya kabisa,
ulikuwa wala huna haja ya kutugusa na kutusakama waislam,yan watu huwa hawariziki bila kutuchokoza na kutukejeli waislam,sijui tumewakosea kitu gani,
kwani kuna ubaya gani mimi kuwa muislam na wewe kuwa mkristo?
Watu siku hizi bila haya,bila aibu wanapandikiza kebehi na dharau za kidini..!
Imeshakuwa fashion sasa kuwadhihaki waislam na kuwapa majina mbali mbali yenye machukizo,
lakin kila mtu yuko huru kuamini kile kinachompa peace of mind,basi hongera yako ww kwa kupata uzima wa milele na jehanam ni yetu sisi waislam..
Ufurahi wewe..
 
Back
Top Bottom