New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

images


Bofya link hizi kuangalia video iliyorekodiwa na news live katika tukio hilo
Pope Francis Installation Mass LIVE Stream: Watch Pope Francis' Investiture Online

Pope Francis Installation Mass LIVE Stream: Watch Pope Francis' Investiture Online

YouTube New Pope Announcement Video: Watch Pope Francis I Announcement

New Pope Prayer: Full Text, Highlights

Jorge Mario Bergoglio Pope: Listen to First Pope Prayer Here
 
sisi tumetulia zetu kimya kabisa,
ulikuwa wala huna haja ya kutugusa na kutusakama waislam,yan watu huwa hawariziki bila kutuchokoza na kutukejeli waislam,sijui tumewakosea kitu gani,
kwani kuna ubaya gani mimi kuwa muislam na wewe kuwa mkristo?
Watu siku hizi bila haya,bila aibu wanapandikiza kebehi na dharau za kidini..!
Imeshakuwa fashion sasa kuwadhihaki waislam na kuwapa majina mbali mbali yenye machukizo,
lakin kila mtu yuko huru kuamini kile kinachompa peace of mind,basi hongera yako ww kwa kupata uzima wa milele na jehanam ni yetu sisi waislam..
Ufurahi wewe..

Mkuu hii inatokana na nyie hamuwezi kutaja mahakama ya kadhi bila kutaja Vatikani ndo mana jamaa kawaonyesha hiyo kete ya kuanzia kudai kadhi.
 
Mkuu hii inatokana na nyie hamuwezi kutaja mahakama ya kadhi bila kutaja Vatikani ndo mana jamaa kawaonyesha hiyo kete ya kuanzia kudai kadhi.


wewe umekiona alichokiandika?
Yeye amekejeli kuwa sisi waislam ni vilaza,
lakini hakuna tatizo,mimi na waislam kwa ujumla wala hatuna tatizo na hilo,ni mawazo yake,na hili ni jukwaa huru kuzungumza,
yeye anaona anaenda peponi sisi waislam vilaza tunaenda motoni,ni mtazamo wake,
yupo sahahi kabisa..
 
Mugabe alienda huko?

107745-mugabe-in-rome-for-pope-039-s-inauguration.jpg

ZIMBABWEAN President Robert Mugabe flew into Rome on Monday to attend Pope Francis's inauguration, sidestepping a travel ban that applies to the EU but not to the sovereign Vatican City state.


Mugabe arrived amid controversy in Zimbabwe where police on Sunday arrested four of Prime Minister Morgan Tsvangirai's aides and a prominent human rights lawyer following a referendum that would curtail Mugabe's powers.

A practising Catholic, the 89-year-old Mugabe visited the Vatican previously in 2011 for the beatification of late pope John Paul II.


In 2005, he attended John Paul II's funeral on a visit that drew controversy after Britain's Prince Charles shook hands with him.

Pope Francis's inauguration mass in St Peter's Square will take place on Tuesday, with hundreds of thousands of faithful and world leaders expected.

Mugabe has been widely condemned for human rights abuses in Zimbabwe. Preliminary results indicate the referendum has been approved, paving the way for fresh elections to decide whether Mugabe will stay on.

The new constitution would introduce presidential term limits and beef up parliament's powers but could allow Mugabe to stay on for another decade if he wins elections.

Mugabe has ruled uninterrupted since independence from Britain in 1980, despite a series of disputed and violent polls and a severe economic crash propelled by hyper-inflation.


 
we wish u the best our new pope!! viva catholics, viva christians!!
 
Hii bendera ilikuwapo. Alikuwa nayo mtoto wa mama mahela / mzee Mahele anaitwa Andrew katika viwanja vya basilika ya mt. Pita. Na alisimama karibu na njia kati ya njia ambazo Pope alipita wakati wa kuingia akibariki watu. Na baada ya misa watanzania wengi wakiwamo walei, watawa na mapadre walipiga picha wakiwa na bendera hiyo. Wapo waliokuwa na skafu na kofia za bendera ya tanzania. Na huku wapo watanzania wanapeperusha bendera yetu, ingawaje viongozi wetu wa nchi ni mafisadi.

Mkuu nafikiri jina sahihi la huyo Bwana ni Andrew Mhella sio Andrew Mahela. Hata hivyo asante kwa ufafanuzi huu. Inaelelkea Watanzania wengine hawaamini kwamba bendera yao inaweza kumkaribia Papa.

Tiba
 
Hii nayo ni siasa.

[TABLE="width: 536"]
[TR]
[TD="width: 100%, align: center"]
Apostolic Nunciature of the Holy See (Vatican City) in Tanzania
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ritz
Hiyo ni ofisi ya ubalozi wa Vatican nchini Tanzania, kwa maana hiyo tukio hilo kiserikali ni sawa na kutawazwa kwa rais mteule wa Kenya Rais Mcchaguliwa Uhuru Kenyata. Vatican ni nchi ndani ya nchi ya Italia kama ilivyo Lessoto na Zwaziland ndani ya South Africa.
 
[TABLE="width: 536"]
[TR]
[TD="width: 100%, align: center"]
Apostolic Nunciature of the Holy See (Vatican City) in Tanzania
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ritz
Hiyo ni ofisi ya ubalozi wa Vatican nchini Tanzania, kwa maana hiyo tukio hilo kiserikali ni sawa na kutawazwa kwa rais mteule wa Kenya Rais Mcchaguliwa Uhuru Kenyata. Vatican ni nchi ndani ya nchi ya Italia kama ilivyo Lessoto na Zwaziland ndani ya South Africa.
mmejuaje kuwa mpo 14m wakatoliki tanzania?huku mkipinga kipengele cha dini kisiwepo kwenye sensa.wito kwa bakwata kufanya sensa ya waislam tuu
 
Hii picha ni ya kweli, wala haikuchakachuliwa, ila si kweli kwamba ipo karibu na Papa ikimpungia upepo, ukiangalia vizuri utaona kuwa mpiga picha hii amekaa katika angle ambayo ameweza ku align position ya bendera na position ya Papa wakati anapita kwa mbali kidogo. Ipo picha nyingine inayoonesha position halisi ya Papa akiwa kwenye gari na Bendera yetu hiyo ikiwa mbali kidogo. Lakini hata hivyo ni jambo zuri tu taifa kuwakilishwa katika tukio la ibada ya kimataifa kama hili.
 
Pope-Francis-inauguration-Mass.jpg



"Tomas! kwa kuwa umeniona umesadiki, heri yao wasioona na kuamini."

Mama Mdogo
Labda Mama kilichokuchanganya ni kuona pic moja tu, kumbuka hulka yangu si kuweka mambo ya vijiweni, najiheshimu na siwezi kudhalilisha ukweli wa tukio kubwa kama hili.


Mwajua aliyeweka habari hii yupo kwa nini msiniulize niwape ukweli, sasa hizo picha zaidi ya tatu zinazoonyesha bendera ya Tanzania bado Illustrated Photoshop Art Work? Mimi sina tabia hiyo, ni ukweli tu, na waliofikiria hivyo angalieni hizo taswiras nyingine mpate picha. Pope ni wa dunia nzima na mataifa mbalimbali yaliwakilisha. Angalieni kielelezo kingine cha idadi ya Wakatoliki duniani.

Hii ni picha halisi, shukrani kwa post tatizo la hapa watu wamekariri kwa kuwa wameshasikia kuna photo shop basi kila picha kwake ni photoshop.....
 
mmejuaje kuwa mpo 14m wakatoliki tanzania?huku mkipinga kipengele cha dini kisiwepo kwenye sensa.wito kwa bakwata kufanya sensa ya waislam tuu

Mkuu kwa faida yako ni kwamba.Mkatoliki akizaliwa anabatizwa akiwa mchanga au hata mtu mzima anayejiunga na kanisa kwa mara ya kwanza na hapo anaingizwa ktk register book ya parokia kisha parokia inapeleka return jimboni na jimbo linapeleka makao makuu ya kanisa katoliki yaani VATICAN, kwa kukusaidia wakatoliki unaweza kujua idadi yao kila mwaka au at any time 't'kwa waliokufa, waliozaliwa, waliooa na kuolewa, ndoa zilizo vunjika n.k. It is a system of its kind under the sun.Ndiyo maana wataalam wa management wanasema THE FIRST MANAGEMNENT IN THE WORLD WAS COPIED FROM ROMAN CATHOLIC SYSTEM.Nadhani umetosheka kwa haya machache wenzangu watakujuza zaidi
 
Hahahah...hakuna hiyo kitu unaongea mkuu, personally nafanya kazi nyingi tu kwa photoshop na hiyo picha kila kilichopo kilikuwepo wakati ikipigwa.

Hiyo picha ni uchakachuaji mtupu (photoshop) kwa kuunganisha vipande vitatu yaani picha ya pope, watu na hiyo bendera)! Mambo ya digitali hayo!
 
Ivi kinachowafanya baadhi ya watu kutoamini izi picha ni nini hasa
Kwamba watanzania hawawezi kuwapo Vatican?
Acheni kujizarau kiasi icho"kheri yao wanaosadiki bila kuwapo eneo la tukio kwa maana imani yao ni kubwa kuzidi punje ya haradali"
Kuna jamaa zangu zaidi ya watano wengine wanasoma na wengine wanaishi uko!
Asante mtoa mada kwa kuonesha uwakilishi wetu uko.Proudly Tanzanian
 
mmejuaje kuwa mpo 14m wakatoliki tanzania?huku mkipinga kipengele cha dini kisiwepo kwenye sensa.wito kwa bakwata kufanya sensa ya waislam tuu

Pole, Catholic wana registered directory, kila kigango, parokia, jimbo, taifa kuna registered directory ambayo huakisi wapya kama mtu anabatizwa maana yake ana kadi inayotunzwa kwenye register na kuhakiki uhai wake katika kanisa. Inapotokea kifo basi huondolewa kwenye registered directory. Jamaa wanajua nani hai, nani kafa, wapo wangapi, ndio maana hawahitaji kuhesabiwa na timu ya Kikwete maana wanajua idadi kamili bila taabu kwa utaratibu wa kisomi si kama kupita nyumba kwa nyumba kiswahiliswahili.

Niliwahi kuona hesabu ya watu Marekani, hawapiti nyumba kwa nyumba, ila kila nyumba serikali hutuma form kwa njia ya posta ya kujaza na unaiweka nje ndani ya sanduku lako la barua, watumishi wa posta wanapita kukusanya pamoja na barua nyingine wakati napopitia kuacha barua zako. Wasomi hawafanya kibongobongo bana. Ingawa wanaweza kupata information kupitia social security, hii ni kwa ajili ya kuhakiki zaidi wanaojipenyeza hasa wazamiaji.
 
Mh! Ya kweli hayo? Picha hii haijachakachuliwa? Waitaliano na wajerumani waache tu gumbendera gwa mwafrika gunakaribia Pope?

Hii picha ni halisi, angalia picha tatu zikionyesha position ya hiyo bendera.
 
Back
Top Bottom