New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.

Dr. hapa umenimaliza mkuu, nimecheka sana!!! I can agree with you on this as well... but can I say something? The problem is not CCM... the problem is .....
 
Tanzania jinsi niijuavyo; JK hana udadisi wa mambo, hajui nani aende wapi, amechanganyikiwa! Anarudisha watu walewale ila anabadili kidogo Wizara, ili atetee hoja kuwa walifanya mema!! Wabunge wapya vijana wengi watapewa nafasi hasa kwenye UNAIBU, "Obama" wa Korogwe mjini, January Makamba na vijana wengine watapewa kisu....subirini tuone
Prime Minister: Mizengo Pinda
President’s Office Public Service Management: Aggrey Mwanri
Foreign Affairs & International Cooperation: Bernard Membe
Finance and Economic Affairs: Mustapha Nkulo
Home Affairs: Hamis Kagasheki
Energy and Minerals: Wiliam Ngeleja
Health and Social Welfare: Prof David Mwakyusa
Industry, Trade and Marketing: Professor Juma Kapuya
Information, Culture and Sports: Emmanuel Nchimbi
Infrastructure Development: : Dr. Shukuru Kawambwa
Communication, Science and Technology: Professor Peter Msolla
Justice and Constitution Affairs: Mathias Chikawe
Labour, Employment and Youth Development: Hawa Ghasia
Lands, Housing and Human Settlements Developments: Professor Anna Tibaijuka
Livestock and Fisheries Development: John Magufuli
Natural Resources and Tourism: Makongoro Mahanga
Water and Irrigation: Agriculture, Food Security and Co-operatives: Dr Mathayo David
Community Development, Gender and Children: Celina Kombani
Defense and National Service: Dr. Hussein Mwinyi
East African Co-operation: Dr Kamala
Education and Vocational Training: Professor Jumanne Maghembe
 
The next PM is hon. Samuel Pitta (MP)

Mkuu huyo ni nani tena?? Ila kama ni Sitta sijui kama watamweka maana walimshutumu kwa kukidhoofisha chama sasa wakimpa hiyo post si ndo atadhoofisha serikali??
CCm ukiwa mkweli hutakiwi!! Unapaswqa uwe mnafiki mchukia rushwa wa maneno sio vitendo.
 
Ki mtazamo lowasa ana nguvu ndio kwenye chama pamoja na marafiki lakini chama tawala kisipo kua makini na kumpa Lowasa moja ya nafasi kubwa za uongozi. Hilo litakua bomu litakalo walipukia wenyenyewe ccm baadae.
 
Jamani sidhani kama Vicky Kamata atakosa walau unaibu waziri wa vijana, watoto, wanawake na ustawi wa jamii! Go Go Dada Vicky!
 
Huwa naona Prof Mwandosya anampa wizara za ajabu ili ampoteze na safari hii sitashangaa akimwacha kabisa! Tusubiri tuone
 
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.

Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.

1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa
PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha
Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye,
cost implication na sio performance.

list inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.


Heshima kwako Pasco,

Nafasi ya Waziri Mkuu itabaki kwa Mheshimiwa Pinda hana doa la rushwa mpaka sasa pia hajaonyesha nia ya kugombea utukufu wa magogoni wanamtandao hawana hofu ya kutibuliwa mipango yao mwaka 2005,watamwambia JK ambakize kwa kisingizio cha kukwepa kuwa na viongozi wengi wa juu wastaafu .Samwel Sitta hawezi kupewa nafasi ya uwaziri mkuu kwasababu ni tishio la wanamtandao mwaka 2015.Wanamtandao wamefanikiwa kumdondosha kwenye uspika hawatakubali anyanyuke tena.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikioano wa kimataifa inaweza kuongozewa majukumu ya Afrika Mashariki,Bernard Membe ataendela kukamua kama kawaida.Membe katumiwa sana na JK katika harakati za kurejea magogoni,Membe alikutana na viongozi wa dini ya kikristo kwaajili ya kuwapooza kuhusu misimamo tata ya serekali ya JK [Mahakama ya Kadhi na OIC].Mtihani mkubwa wa Membe ni ushawishi wa wanamtandao ambao wanamwona kama tisho pekee siku za usoni.

Professor Anna Tibaijuka anaweza kupewa wizara ya Ardhi na Nyumba.Ni mchapakazi ana uwezo na elimu nzuri.JK tayari kajionyesha anawaamini sana wanawake sitashangaa akiukwa uwaziri.

Godluck Ole Medeye Mbunge wa Arumeru Magharibi ni mtu wa karibu wa Lowasa,kabla ya kujitumbukiza kwenye siasa alikuwa mkurugenzi wa rasilimali watu Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) ni karata muhimu sana ya Edward Lowasa ambaye amekuwa akipigania kwa muda mrefu kudhibiti siasa za Mikoa ya Arusha na Manyara.Medeye anaweza kupewa TAMISEMI au Utawala Bora ili kusafisha njia ya Ngoyai mwaka 2015.


Anna Kilango Malechela atapewa unaibu waziri kumtuliza Mzee Tinga tinga ambaye bado anaushawishi mkubwa ndani ya CCM.Muungwana atapenda kuonekana fair kwa makundi yote anaweza kuambulia wizara ya wanawake na watoto kuzuia kele zake bungeni.Mama kilango alibanwa mabavu jimbo mwake kiasi kwamba alishindwa kumsaidia mgombea wa CCM Moshi mjini kama alivyoahidi.Kushinda ubunge kwenye jimbo gumu ni ushaidi tosha anaweza kufikiriwa kidogo.

Dr Mwakyembe atakamata wizara ya sheria na katiba.Muungwana atapenda kuwapa wizara wanaCCM wenye uwezo badala ya kuangalia kanda na makundi mbali mbali ili kujaribu kurejesha imani ya wananchi waliochoka na utendaji wa serekali yake,ushindi wa 61 % utakuwa umemshtua sana hatakubali kuwabeba mawazi wasiokuwa na uwezo.

Hawa Ghasia atkuwemo ndani ya baraza la mawaziri,amemsaidia sana Muungwana kupata kura za kusini pia ukaribu wa Ghasia na Mama Salma kikwetu ni turufu muhimu sana.

Sofia Simba hawezi kuachwa hata kidogo hasa ukitilia maanani jinsi TISS ilivyofanya kazi nzuri ya kuchakachua kura za Dr W Slaa.Ikumbukwe Mama Sofia Simba waziri wa zamani Utawala Bora[UWT & TAKUKURU] ni muhimili muhimu sana wa wanamtandao alihakikisha wapiganaji ndani ya CCM wanachakachuliwa ndani ya CCM na nje ya CCM.


Dr Hussein Mwinyi lazima awepo ndani ya baraza la mawaziri kama fadhila za mzee Ruksa kumchomoa kutoka ukatibu wa CCM hadi uwaziri.Bila Mwinyi hakuna mtu aliyekuwa akimjua Muungwana.

January Makamba kijana huyu nategemewa kuanza na unaibu waziri ndani ya miaka miwili atapandishwa cheo waziri kamili.Ni tishio kwa Membe na karata muhimu ya wanamtandao ,kabla Muungwana ajamaliza kipindi chake ataukwa uwaziri wa mambo ya nje ili kuweka uwanja sawa baina ya wanamtandao na wapiganaji.

Mustafa Mkullo wizara ya fedha itaendela kubaki chini yake ingawa uwezo na utendaji kazi wake ni mdogo na wenye shaka nyingi.

Selina Kombani lazima apewe wizara nzito kazi yake ya kuratibu na kusimamia zoezi la uchaguzi imeonekana wazi,CCM na serekali ingekuwa na hali mbaya sana kama zoezi la uchaguzi lingefanywa bila mizengwe.Mama Kombani alikuwa waziri wa TAMISEMI wasimamizi wote wa uchaguzi ngazi ya jimbo wako chini ya Mama.

Dr Shukuru Kawambwa atabakizwa Miundo Mbinu ili kukamilisha zoezi la ujenzi wa International airport Bagamoyo.

Professor Maghembe Kilimo.





Vyama vya CUF,NCCR na TLP vinaweza kushirikishwa ndani ya serekali ya Muungwana.
 
Napenda kuuliza hivi Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka ameshasitaafu/kuacha kazi za Shirika la Makazi? maana nijuavyo kama atapewa uwaziri ni vigumu sana kuendelea na kazi ile kwani atakuwa na majukumu mengi sana ya hapa na pale.:israel:
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.

Japo mpaka sasa kitendawili cha Waziri Mkuu bado hakijatenguliwa, nimeonelea niwatajie baadhi ya majina mapya kwenye new cabinet.

1. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka.
Huyu ndie mbunge mwenye highest profile. Asipokuwa PM then atapewa foreign. Sababu pekee ya kumrudisha Pinda inaweza kuwa ni ile ile iliyomrudisha Sumaye, cost implication na sio performance.

List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
 
As the matter of fact, natabiri kwamba these smart young MPs, Kabwe, Mdee, January and Jussa will align themselves and work together despite the party differences. Mnyika won't, because 1) he is not independent, hana swagga 2)kibaraka wa wazee wa Chadema.

I cannot see Halima Mdee joining this group. I have heard of the relationship between January and Kabwe, and when you add Jussa what ties them together is not their youth but also their religion. Like it or not Mbowe is the soul of CHADEMA. I witnessed first hand how much money CCM poured in Hai to make sure he does not go to parliament. If Mbowe was mediocre as you would have us believe why would CCM bother to make sure he does not make it in the house? Or for that matter, try to convince Kabwe vie for the chairmanship of the party?
 
Mpinda kurudishwa Uwaziri Mkuu haina tofauti na malaria unatibu inarudi tena. Huyu bwana hana Maamuzi, Hata Martin Shigella akimtishia anainama chini kulamba miguu. May be due to cost implication anaweza kumrudisha, lakini hana la maana sana.
 
Huwa naona Prof Mwandosya anampa wizara za ajabu ili ampoteze na safari hii sitashangaa akimwacha kabisa! Tusubiri tuone
Well said dude!JK wish even not to include him on cabinet bcoz he is among seems as threat!And What I know prof bado yuko kwenye mbio za 2015!
 
Mchezo wa Mkapa na JK ndiyo ulioiua TTCL, ndiyo maana unaambiwa hakusaini ule mkataba wa kuuzwa kwa ttcl/celtel, badala yake alisaini katibu mkuu wizara ya mawasiliano.

Connection yake na somebody ISSA kwenye hiyo deal ya CELTEL inaijua? Nenda kasome HANSARD uone jinsi alivyotetea ununuzi wa RADA!! Upelelzi ungeendelea juu ya rushwa ya hii RADA wengi wangetumbukia!!
 
Muulizeni huyo msomi wenu Mwandosya what he tried to do to Professor Kikula. Hawa watu saanyingine hatuwajui, kisa mtu ana phD na roho nzuri mnadhania ipo.. Mpeni nchi aweanwatumia TISS kuwakili dissidents.
 
Well said dude!JK wish even not to include him on cabinet bcoz he is among seems as threat!And What I know prof bado yuko kwenye mbio za 2015!

Good luck to him but unlike his competitors he has failed to use his ministerial positions to establish a solid base for himself!! He is destined to remain a tribal baron!!!
 
What about Steven Masatu Wassira, aliekuwa Waziri wa Kilimo na Ushirika, naona hakuna anaemtaja humu, au amechoka wadau ha ha hha
 
Ni kweli bwana mtoto wake alivyo-someshwa that time... yeye sio fisadi kwa sababu hayuko kwenye kambi ya JK... double standard.

Kuna watu wameitwa mafisadi bila kuwa na issue yoyote... hii ya Mark it was clear... lakini du! it depend unapendwa au hupendwi... ukipendwa lolote lile sawa.
Usafi wake ni wa mashaka. Kwani alitumia pesa za TPDC kujiwekea mazingira ya kupata ubunge bila kupingwa kule kwao na kumuondoa Mwambulukutu. Waliofanya fanya naye kazi CEEST wakikueleza mambo yake hautapenda hata kumkaribia.
 
Back
Top Bottom