Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,419
- 2,270
Kwa wastani wazenj hupewa wizara ngapi katika JMT, naona ule utamaduni wa wizara ya mambo ya ndani kuongozwa na wazenj umetoweka!Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.