New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Mkuu Midima, Midimay , huu sio ufunuo, hizi ni trends readings, unasoma tuu trends unaona. Kuna vitu sisi watu wa nje tunaviona vizuri zaidi kuliko walioko ndani, tukishauri, tunapuuzwa kwa hoja za who are you?, wewe ni nani?. Kwa vile sisi kazi yetu ni ku read trends na kusema trends zinasemaje, tukiisha sema kile trends zimetuelekeza, tunakuwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu, wakiamua kufuata ushauri, au wakiamua kupuuza, ni wao, sisi kazi yetu itakuwa ni kukumbusha tuu, tuliona nini, tukashauri nini, tukapuuzwa, kisha nini kikaja kutokea!.

Yule Blaza wangu,
  1. tulimshauri, Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".
  2. Tukamshauri tena Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
  3. Tukamshauri tena na tena
  4. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
- US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
P
True—this world often feels deeply unfair. Power, politics, and privilege can overshadow justice. But speaking up, staying informed, and standing by your values still matter. Even small voices, over time, help shape change.
 
Pascal Mayalla tupe ufunuo kuhusu Tundu lissu.
Nimesema kila kitu hapa
1. Tundu Lissu ni mpango wa Mungu Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?
2. Shetani akaingilia kati kutibua The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!

P
 
Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
P
Shida ilianzia hapa
 
He is more than qualified; his only problem is that he is not part of 'them' and that he is able! Usisahanu katika CCM ukiwa na uwezo ni disqualification. You need to display high level of mediocrity and hypocrisy to be part of the status quo.
Hii sijui anaiona huyu jamaa
 
Wanabodi,
Bado niko hapa mjini Dodoma, nikijivinjari katika viwanja vya Bunge kwa haya na yale.

2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
Pasco
Bandiko hili ni la 2010, hivyo ni vema madogo humu mkatambua watu wametoka wapi na Samia.

Tena hapa, sio najitapa bali ndio ukweli wenyewe, ni bandiko hili ndilo lililomtambulisha Samia kwa mara ya kwanza humu jf.

Ni katika kukumbushana tuu, niliwahi kusema nini humu kumhusu Samia Suluhu Hassan, kabla hajawa rais wa JMT

Hiyo October 29 tukiamua kumpa tena mitano mingine, then atafanya better and better!
Tumpe!.
P
 
. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.
Ulitisha mzee Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom