New Business "NETWORKING BUSINESS"

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
ajira hi ni bure haiitaji mtaji, ni utayari wako, ambition yako ya kutaka kupata kipato kisicho na kikomo, ajira ambayo haifi endapo wewe hutakuwepo duniani. why cant you join this networking business.
 
mkuu ni biashara inayotakiwa kukaa na kukuelezea kirefu kidogo, i will pm you my number kesho tukutane if you are interested and anybody interested kama unahitaji kuifahamu hii biashara uniambie niku pm namba yangu tukutane kwa ajili ya maelezo muhimu ya biashara hi. karibu
 
Ni mzuri uwe wazi ili watakaokuwa interested ndio wakutafute. Wewe huna shughuli utakutana na wangapi kwa siku na foleni za Dar? Kuwa muwazi tuambie nini biashara yako.
 
@wote.. networking business is a network marketing. na ni vigumu kidogo kukuelezeeni kwa msg hapa. there is free business training 4 those in dar
 
C'mmon kinachokuwa kigumu kueleza hapa na chepesi ukumbini ni kipi? ama huko unaenda kutumia lugha za mama zetu tofauti na hii; mwenyewe umesema kwa waliopo dar; so tusiokuwapo hatauna haja ya kujua nini wataka kutushirikisha?
 
maskini jeuri kweli we ni jeuri kweli kweli, namba hiyo hapo nipigie simu na tuongea, biashara inatakiwa kuifahamu vizuri na kwa kiundani ndugu, ndio maana watu wanaenda shule kusomea miaka 3. call me nitakuambia popote ulipo utaipata training
 
Hii biashara inaonekana ina mushkeli fulani, jana mtu mmoja kaniletea sms akisema kitu hiki hiki, niliposema anieleze kinaga ubaga, akaomba simu yangu ili tuonane jicho kwa jicho ili anieleze.

Kwa wewe mtoa uzi, siku nyingine kama huwezi kutoa abcd za uzi wako usijaribu kupost kwa sababu unaposhindwa kutoa maelezo hata ya awali unafanya jukwaa likukunjie uso. Kama ni biashara ya siri huna haja ya kuipost hapa. Sasa kila mtu akisema apige simu kuulizia, simu ngapi utazipokea?

Kama nitakuwa nimeharibu siku yako nisamehe.
 
Mkuu what more do you offer to set you apart and above the following:-
Forever; GNLD, Tianshi n.k.

Payment Structure yenu ni vipi au hakuna tofauti na kampuni hizo hapo juu..?
 
Jamani mpka sasa hmjaelewe tu.
Biashara yake iko hivi:
Unakaribishwa ktk hoteli nzuri au ukumbi mzuri tu .eg Holiday inn,sheraton/moven pick.
unaonyeshwa video za watu waliofanikiwa,halafu unaonyeshwa mfumo wa "NETIWEKING" NA Multi level marketing. ukishakolea na darasa unaambiwa utoe laki 350,000 ili ujiunge na upewe form za kuwa member.
then unapewe parcel yenye Nutritional foods,Aleovera, Sabuni,Shampoo etc ili uviuze au utumie wewe mwenyewe.na baada ya hapo unaambiwa utafute NEW MEMBERS au downline wajiunge na walipe hizo pesa za kuanzia laki 3.5 na kuendelea na ktk kila transaction ya member mpya utakayemleta unapata % ya faida.
Kimsingi imekaa kama DECI fulani hivi lakini siyo DECI ya pyramid na hawapendi kutumia neno Pyramid.kuna kampuni kubwa 3 zina operate in TZ
1- GNLD 2,Tianshe 3-Forever living (hawa wamekuja miaka ya karibuni)
mimi nimekuwa navutiwa na plan zao za malipo na natamani nianzishe yangu ili niwe ktk Apex ya hiyo pyramid ,
Na wale waliojiunga mapema ndio wamefaidika saaana.Hizi biashara huwa haziendi beyond 10years kwani baada ya muda kila mtu anaistukia so inakuwa siyo dili tena.mfano watu waliokuwa GNLD wakaja kuamia Tienshi ,etc.
kingine ni kuwa bei za hizi bidhaa huwa VERY Overpriced. mfano dawa ya mswaki inaweza kuuzwa hadi dola 5. wakati nimekuwa natumia Colgate maisha yote kwa Buku 1 tu.na meno yako SaFI tu.
 
Mkuu uko sawa kabisa, nakubaliana na maelezo yako.
 
Yap hizi ni Pyramid schemes mwishoni lazima zicollapse, wao wanachukua chao wewe unabaki na shampoo zako.
 
Back
Top Bottom