New Business "NETWORKING BUSINESS"

Jamani mpka sasa hmjaelewe tu.
Biashara yake iko hivi:
Unakaribishwa ktk hoteli nzuri au ukumbi mzuri tu .eg Holiday inn,sheraton/moven pick.
unaonyeshwa video za watu waliofanikiwa,halafu unaonyeshwa mfumo wa "NETIWEKING" NA Multi level marketing. ukishakolea na darasa unaambiwa utoe laki 350,000 ili ujiunge na upewe form za kuwa member.
then unapewe parcel yenye Nutritional foods,Aleovera, Sabuni,Shampoo etc ili uviuze au utumie wewe mwenyewe.na baada ya hapo unaambiwa utafute NEW MEMBERS au downline wajiunge na walipe hizo pesa za kuanzia laki 3.5 na kuendelea na ktk kila transaction ya member mpya utakayemleta unapata % ya faida.
Kimsingi imekaa kama DECI fulani hivi lakini siyo DECI ya pyramid na hawapendi kutumia neno Pyramid.kuna kampuni kubwa 3 zina operate in TZ
1- GNLD 2,Tianshe 3-Forever living (hawa wamekuja miaka ya karibuni)
mimi nimekuwa navutiwa na plan zao za malipo na natamani nianzishe yangu ili niwe ktk Apex ya hiyo pyramid ,
Na wale waliojiunga mapema ndio wamefaidika saaana.Hizi biashara huwa haziendi beyond 10years kwani baada ya muda kila mtu anaistukia so inakuwa siyo dili tena.mfano watu waliokuwa GNLD wakaja kuamia Tienshi ,etc.
kingine ni kuwa bei za hizi bidhaa huwa VERY Overpriced. mfano dawa ya mswaki inaweza kuuzwa hadi dola 5. wakati nimekuwa natumia Colgate maisha yote kwa Buku 1 tu.na meno yako SaFI tu.

Hapo kwenye RED, nathani ili ufanikiwe katika shughuri yoyote una budi kujifunza kwa waliofanikiwa na kuchukua hamasa toka kwao, je ni lipi atakupa aliyeshindwa? na je ni biashara gani duniani ambayo hakuna aliyewai kufanya akashindwa na wakati huo huo wengine wanafanikiwa kwa sana tu?

Chukulia mfano jirani unakoishi, je ni wangapi walianzisha maduka wakashindwa, wakayafunga na wangapi wameanzisha na wanaendelea mpaka sasa kwa mafanikio makubwa? je shuleni ni wangapi uliokuwa nao primary, sekondari, a level au chuo na walishindwa na pengine wewe umeweza?
je uliangalia walioshindwa au malengo yako ukitiwa hamasa na waliofanikiwa?

I think we should learn to see things, especially those we think they are new to us in different perspective, that's what I think, hakuna shughuri yoyote duniani yenye kufanikiwa tuuu au kushinndwa tuuu, hakuna, hata kama ni Urais, wapo wanaofanikiwa na kuweka historia na kuwa mifano na wapo mabogasi pia, je tujifunze kwa yupi?

Good day.
 
mtz haswa rudi useme kama networking yako ni tofauti na anachozungumzia new mzalendo. manake mnaudhi! kuna siku mtu aliniambia njoo haraka sana kuna kitu cha maana sana hapa new africa hotel. nafika naambiwa habari za chi pendant eti ukiivaa unakua na akili sana!na biodisk inatia energy kwenye maji! nilikasirika!she could give me the website nikaangalia nilikokuwa tu...
 
Point Taken hapo ktk RED. lengo la post yangu ni kumfanya MTOA Mada Aseme kama nilichosema siyo Sahihi.kama alivyosema King'asti ,Hawa Jamaa wa Networking Business huwa Si Wawazi wanakuitia jambo A ukifika unapewa story za XYZ. Hizi biashara zinshabihiana sana na Ponzy Schemes or Pyramid schemes hazijengi Taifa.jaribu kusoma online /ofline utaelewa ninachosema
 
kwa taarifa yako kaka haziwezi ku colllapse hata siku moja we utakufa utaziacha...my company was established since 13th may 1978....mpaka leo watawanapiga mzigo piga ua fanya utakavyo system ipo na itaendelea kuwepo....my company is the in the top 5 best companies world wide and 1st in Africa....ts products are scientifically approved in 145 countries....by tha International Science Council.......una jipya la kunambia??? kama huna ni vizuri ukaulizwa uelimishwe !!!!! Talk is Cheap....
 
Mkuu what more do you offer to set you apart and above the following:-
Forever; GNLD, Tianshi n.k.

Payment Structure yenu ni vipi au hakuna tofauti na kampuni hizo hapo juu..?
Hawezi jibu , ukisikia tu network marketing basi jua ndio ujinga huo huo sijua forever,gnld, yaani wanakeraaaaaaaaaaaaaa
 
mtz haswa rudi useme kama networking yako ni tofauti na anachozungumzia new mzalendo. manake mnaudhi! kuna siku mtu aliniambia njoo haraka sana kuna kitu cha maana sana hapa new africa hotel. nafika naambiwa habari za chi pendant eti ukiivaa unakua na akili sana!na biodisk inatia energy kwenye maji! nilikasirika!she could give me the website nikaangalia nilikokuwa tu...
Hapo kwenye bold nimecheka sana...! Hilo li disk sijui jiwe tulishaletewa hapa home....eti unalitumbukiza kwenye maji kwa muda halafu hayo maji yanakuwa na nutrients za ajabu....! Mimi binafsi natumia bidhaa za GNLD especially za chakula(foo supplements) na kwa kweli afya inaimarika sana....sasa kama mtu ukiweza kuwa convince watu ubora wa hizi bidhaa baada ya mwenyewe kuzitumia unaweza kupata soko zuri au hata kutengeneza timu kubwa tu downlines..!
 
ajira hi ni bure haiitaji mtaji, ni utayari wako, ambition yako ya kutaka kupata kipato kisicho na kikomo, ajira ambayo haifi endapo wewe hutakuwepo duniani. why cant you join this networking business.

Mkuu uko serious kweli, kipande kipi cha dunia kuna vitu vya bure, nijulishe na mimi nihamie !!!!!!!.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom