New Boko Haram video emerged

Jamni Mi naomba waisilam mtuambie kwa mijibu wa dini yenu je walivyofanya boko haramu ni sahihi au si sahihi...tusaidieni kidogo juu ya hili ndugu zetu...

Waulizeni hao boko haram wenyewe mana na wao ni waislam, sisi hamtotuelewa.
 
Unajikomba kwa saudi arabia? Mbona hao ni madhalimu wenzenu zaman sana.Nambona tushawatangazia vita zaman hao
 
Huyu Shekhau ni msambaa nini??maana majina yao huanza na She..
 
Unataka kusema nini hapo? Kwani kuna ajabu Osama kufa ? Kweli makafiri mmelewa na hii dunia na ndo mana hata kifo mnakiogopa.Waislam tunajua kila nafsi itakufa na kwa Allah tutarudi. Na mwenye kuipigania dini ya Allah ndo mwenye heshima zaid kwake.
 
wakati manalazimishwa ulikuwepo? Au tupe chanzo cha habari yako.
Msiwe wapumbavu ...kwani km uislam ungekuwa na mvuto si wangesilimu kabla ya kutekwa na boko haramu..sasa utasikia jinsi watakavyoudhalilisha uislam wakiachiwa.....hizo ndizo miracles za allah..kwa wanawake waliotekwa nao waukumbatia uislam.Kweli imani za kishetani ni shida..huwa bila aibu mnajisifu kuwa mateka wameukubali uislam..
 
Unataka kusema nini hapo? Kwani kuna ajabu Osama kufa ? Kweli makafiri mmelewa na hii dunia na ndo mana hata kifo mnakiogopa.Waislam tunajua kila nafsi itakufa na kwa Allah tutarudi. Na mwenye kuipigania dini ya Allah ndo mwenye heshima zaid kwake.

Na pia nasikia uwa kuna mabikra 72 pamoja na mto wenye mvinyo,hivi ni kweli hayo???
 
Shida iliyopo hapa kila mtu anatetea upande wake, Inaeleweka wazi kabisa kuwahusisha wanawake na watoto kwenye vita na dhambi kwa Mwenyezi MUNGU lakini watu wanatetea tu eti kisa wa dini yao! UJINGA ULIOJE!
 
Vipi mkuu Elungata
Umekubali kwamba kweli hao wadada walitekwa na book-haram?
Nakumbuka kama wewe na FaizaFoxy mlikuwa mnatoa habari za kukanusha, ya kwmba utekaji huu haujafanyika..
sijawahi sema hawakutekwa,nilisema kuna kitu hakiko sawa.
 
Last edited by a moderator:
Shida iliyopo hapa kila mtu anatetea upande wake, Inaeleweka wazi kabisa kuwahusisha wanawake na watoto kwenye vita na dhambi kwa Mwenyezi MUNGU lakini watu wanatetea tu eti kisa wa dini yao! UJINGA ULIOJE!
weka aya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…