New Africa Hotel Yaungua Moto Mida hii

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,546
Sehemu ya hotel ya new africa hapa jirani na Nbc/Motel agip inawaka moto wazima moto wa ultimate wanaendelea kuudhibiti moto huo.Sidhani kama utaleta madhara makubwa.mpaka sasa hakuna maafa kwa wageni na wafanyakazi wote.
 
Inaungua ama inaunguzwa moto
Waambie wawahii fin Department wamwagie hata Mapera wawahi yalema karatasi

Mjinihapa

Cc.insuarance xxx
 
Jana jirani yao NBC kulikuwa na tishio la moto, leo New AFrica hotel!!
 
Hapo zimamoto wanaweza kufika halafu hawana maji...
 
yepi hayo,casino za kibongo uwa zinafata maadili ya kwetu tz Zaidi ya kugamble hamna uchafu unaofanyika kwenye csino yoyote hapa dar.

gambling inayofanyika pale ndo mabilion ya epa,richmond,escrow yanachezewa kwenye casino, we unaugua unakosa dawa!
 
Jamani moto ulidhibitiwa...inasemekana ni chumba/apartiment ya Gm.ndiko ulikoanzia maana yeye anaishi hapo na family na pia ana kitchen humohumo tetesi ni kua kulikua na uzembe ulofanywa na mkewe ndio moto kuzuka yadaiwa huenda alijisahau kwenye Tv!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom