Sionei haya posts zangu mamaKuna mtu ulitaka umwonyeshe?
Kama nakupenda limeisha muda wacha tubunu mbunu😂😂😂I love u🤣🤣 ndivyo ulivyoandika
Sema nini kama signature yakoKabisa Kabisa
Wapambe nuksi.....!!!Sema nini kama signature yako
Nothing is permanent...
Nakupenda mwanzo wa mahusiano huwa ina upako fulani hivi😃😃😃ila wapambe wakianza yao unaona kama kibwagizo tuu
Sio pow kabisa mkuu.Wapambe nuksi.....!!!
Labda tupigane, maana sasa hivi tu tumetoka kuambizana hivyo.Ushapigwa ww
Sio kweliYaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini?
Baby nakupenda!
Baby mwenyewe
View attachment 2899305


😂😁😁 MamboMbona unafukunyua vitu🤨🙄