Msiba wa MAMA ulipelekea kwa Mara ya kwanza kupewa bonge LA BANN ya siku4 maana niliandika comment ya mzaha nikijua ni ule ule utani na maneno yako ya kichawi kichawi Ila nilipogundua ni ukweli niliumia sana aiseee pole Sana Jamaa angu ila tukio LA msiba na Mimi linabaki kama kumbukumbu kwangu toka nirudi upya Hapa JF nilikuwa sijapigwa Bann ni kama mods walikuwa wananiwinda aisee haikupita hata Dk5 nikaona Banned daaaa noma sana Karibu tena mkuu Nakuomba uje unieleza Viungo vya siri vya mwanamke aliyefariki na ujauzito vinatumika ktk upande gani wa mambo ya Ulozi????