Neno la Shukrani

View attachment 496726

Nina deni na wana JF! Si deni Lingine bali deni la Shukrani.... Shukrani ya mshikamano mkubwa mlioninyesha katika kipindi kigumu cha kuondokewa na mama yangu mzazi.

Si kwa kikubwa wala kidogo kwa vipimo vya viwango vya kibinadamu, bali kwa ule moyo mlioninyesha kwa pm, posts za Faraja na kutia moyo na hata kufariji kwenye makala ile ya ndugu yangu Ambiere kivyele na hata wale walionitumia chochote.

Kwa umoja wenu na kwa pamoja nasema asanteni sana,Mama amevua mwili uharibikao na kuvaa mwili uishio milele, Amevua mwili wa asili na kuvaa mwili wa kiroho, amefaulu mtihani wake na sasa hana maumivu tena.

Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 akiwa na nguvu ni miaka 80 na kuishi ni faida lakini kufa ni Kristo na Kristo ni ushindi..Mama ameshinda vita hii na amepumzika kwa amani.

Asante tena na tena na tena sina neno bora zaidi la kuonyesha unyenyekevu mkubwa kwenye hili

Jr...!
Pole sana Mashana, ila msiba huu kwa namna moja au nyingine unanihusu.

Maana nimeona picha za mazishi ni mama mzazi wastaff mwenzangu ama ni kaka yako aka Mdogo wako au ndio we mwenyewe.

Ref. ....................victor? But sorry! To mention ...
 
Thanks kwenye picha ni Victor ni kakaangu akitoka yeye ni mimi
 
Thanks kwenye picha ni Victor ni kakaangu akitoka yeye ni mimi
Aiseee bwana eeh kumbe humu watu mnaweza kuwa mnajuana afu ndio ile mnazondoana.
Hahaaha victor mtu Wangu simply to say .... Sawa Siku wanasema humu mshana kafiwa nami nilikuwa na taarifa mama Mzazi wa victor kafariki, sasa picha nilizotumiwa huku ndio hiyo umeweka hapo nikapata picha kamili. Pole sana ni mama yetu sote hakika. Huenda IPO Siku victor atatuunganisha. Mpe hi na pole pia.
 
Aamen asante sana hizi zetu bondia zinaficha mengi sana
 
Hahaha sana mkuu dah sitakuja kumu harass mtu humu tena aisee!
yeah ni muhimu sana kuna kisa nitakuja kusimulia hapa it was a weird coincidence! Huyo hater wangu mpaka Leo ni mshkaji wangu (I don't mean to reveal anything here) ila kwa ruhusa yake kuna siku nitasimulia
 
yeah ni mizimu sana kuna kisa nitakuja kusimulia hapa it was a weird coincidence! Huyo hater wangu mpaka Leo ni mshkaji wangu (I don't mean to reveal anything here) ila kwa ruhusa yake kuna siku nitasimulia
Hahahaha naomba akiruhusu Siku hiyo unitag!
Sema nawe mshikaji story zako za kuzimu zinafanya nakuogopaga sana(joke)
 
View attachment 496726

Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 akiwa na nguvu ni miaka 80 na kuishi ni faida lakini kufa ni Kristo na Kristo ni ushindi..Mama ameshinda vita hii na amepumzika kwa amani.

Asante tena na tena na tena sina neno bora zaidi la kuonyesha unyenyekevu mkubwa kwenye hili

Jr...!

Pole mkuu
...ukweli imekomaa kiimani na hata kihisia pia.
 
Back
Top Bottom