Neno la Shukrani

Neno la Shukrani

Nimeumia mno kamtukana mtu mmoja mstaarabu hasa na ninayefahamiana naye
Unajua mkuu hata mimi nimemshangaa sana huyu jamaa sijui yuko na kitu gani moyoni mwake? Hata sijaelewa!! Wewe unamfahamu mkuu huyu mtu?
 
Pole sana mkuu kila nafsi itaonja mauti ni hakika kazi yake kaikamilisha apumzike kwa amani
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu kwenye kipindi kigumu unachopitia
 
Pole sana Mshana Jr kwa msiba mkubwa uliokupata! Mungu Azidi kukupa faraja, nguvu na amani! Pumzika kwa amani mama Mshana!
 
Poleni sana kaka mkubwa. Mungu ampe oumziko la milele na apumzike kwa amani. Tuko pamoja sana.
 
Amepumzika akingojea siku ya ujio wa mwokozi ...hakika makaburi yatawaachia wote na kwa pamoja tutamlaki Bwana mawinguni...Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe..pole ndg yangu mchana jr.
 
Pole kaka yangu. Mola akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Tuendelee kimuombea mama yetu mpenzi apumzike kwa amani. Ameeen.
 
Unajua mkuu hata mimi nimemshangaa sana huyu jamaa sijui yuko na kitu gani moyoni mwake? Hata sijaelewa!! Wewe unamfahamu mkuu huyu mtu?
Hapa simfahamu mtukanaji namfahamu mhanga
 
Tutaendelea kumkumbuka katika maombi. Pole toka kwa ndugu wote unaojua wanakufahamu upande huu. Bado wanatafakari ile post yako ya mwisho ya Meditation nadhani na wewe itakusaidia kipindi hiki.
 
Pole san mshana sote ndo tuelekeako huko mungu ampe kauli thabit mam ETU amin
 
Back
Top Bottom