Neno La Leo: Mti Mmoja Mrefu Haufanyi Msitu!

Neno La Leo: Mti Mmoja Mrefu Haufanyi Msitu!

Omarilyas said:
Simple,

Another scenario:

President Dr Slaa, Vice President anaitwa nani vile? + Waziri Mkuu: Freeman Mbowe = Kikwete + Lowassa (Atleast these guys had more than atleast 30 years of understanding the politics of governance..and relevant education - economics and Development studies)

Scenario nyingine baadae kama ukihitaji

Omarilyas,

..mgombea mwenza wa Chadema anaitwa Said Mzee Said.

..ikiwa italazimu Waziri Mkuu atokee Chadema, basi hands down Zitto Kabwe is the most qualified kutokana na uwezo wake ktk kujenga coalitions na kufanya kazi[amekuwa kwenye tume mbalimbali za Raisi] na CCM.

NB:

..sijui kama unamuelewa vizuri Dr.Gharib Bilal na rekodi yake ya ubaguzi wa kutisha alipokuwa Wizara ya Elimu ya Juu.

..now if anything happens to JK na Bilal akaziba nafasi yake na kuendeleza tabia zake alizokuwa nazo pale Elimu ya Juu then tumekwisha.

..hebu tutake radhi bwana omar. huyu JK anayehofia hata mdahalo lakini hakosekani kwenye madansi na mpira unataka kumlinganisha na Dr.Slaa?
 
..kwa upande mwingine lazima tuwe makini sana na makada wa CCM wa miaka hii, pamoja na malengo yao ktk chama. naamini kwa dhati kwamba CCM imepoteza mwelekeo na kutekwa nyara na watu waliongia ktk siasa kwa nia ya kujitajirisha kwa njia zisizo halali.

Kweli kabisa...kama ambavyo kuwa na makada wa UKOMBOZI ambao wameteka ajenda ya demokrasia ya CHADEMA kwa ajili ya maslahi yao ambayo mengine ni ya kibaguzi....
 
..ikiwa italazimu Waziri Mkuu atokee Chadema, basi hands down Zitto Kabwe is the most qualified kutokana na uwezo wake ktk kujenga coalitions na kufanya kazi[amekuwa kwenye tume mbalimbali za Raisi] na CCM.?

U mean Zitto huyuhuyu wanayepita kuchangishana ili wawezeshe wapinzani wake ili ashindwe uchaguzi???? Huyu huyu wanayetumia gazeti lao kila kukicha kumjengea chuki katika chama chake??? Huyuhuyu wanayemtukana hapa JF mradi tu alidare kumchallenge Waziri Mkuu na Rais (2015) wao mtarajiwa???? Kwa kweli hata mimi namshangaa uvumilivu wake.......but wewe ni wa upande ule mwengine hivyo sishangai ukawa na fikira hizi....
 
Wengi hatutaki kuujadili ukweli. Kiuhalisia si CHADEMA pekee hata vyama vingine vya upinzani pia havina organization ya kueleweka. Kuanzia uendeshaji wake ni wenye kutia mashaka ya hali ya juu. Ipo mifani kadhaa ambayo inaongeza wasiwasi.
1. Wkt wa harakati za kutafuta mgombea wa Urais, CHADEMA walimpitisha mgombea wao na kuwakilisha jina NEC hata kabla ya kuidhinishwa na Mkutano Mkuu. (Hii ndio dhana ya rubber stamp).
2. Mgombea wa Urais alimtaja M/Kiti wa CHADEMA wa Iringa kuwa alijitoa baada ya kupewa rushwa. Hapa pamoja na kumtaja tulitarajia kuona CHAMA kinachukua hatua na kumfikisha mahakamani maana yaelekea ushahidi wanao.
3. Mkutano Mkuu uliofanyika hivi karibuni ulionyesha ni namna gani CHADEMA inataka nani aendelee kuongoza.
Haya na mengineyo hayana tofauti na CUF.
Kiuhalisia CHAMA kinahitaji muundo imara na DEMOKRASIA inayoonekana na si kusemakana. CHAMA kinahitaji muundo ambao ni imara na uliona uwakilishi wa sehem kubwa ya nchi. CHAMA kinachoweza kutambuliwa km CHAMA na si km mtu na ambacho kwa namna yoyote ile kinaweza kujitofautisha na kutofautishwa na kabila au dini fulani. CHAMA ambacho wanachama wanaweza wakatoka mbele na kujisifia (hapa namaanisha wasomi maana wao ndio waoga kuliko wasiosoma).
Mjengwa yupo sahihi kiasi fulani ingawa si lazima uwe mti mrefu km watu wanavyotarajia wapime height la hasha anamaanisha mti unaoonekana. Ingawa CONCEPT yake is prune to critism kwamba extent ya urefu wa mti (kwangu mie naona bora ustawi wa mti) inatakiwa isizidi miti mingine.

Mkuu, kuna wakati Kikwetev alinukuliwa akisema kuwa alikuwa amejiandaa kwa miaka kumi kuhakikisha kuwa anaipata nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea urais. Ili kufanikisha azma hiyuo, kuna damu ya kisiasa nyingi imemwagika hapo katikati, kuna wahanga wengi sana aliowakanyaga migongni ili kuhakikisha anafika juu. What kind od democracy is that?
 
Mkandara,

Wewe unampa benefit ya nini Omar, Jamaa kamlinganisha Slaa na Kikwete. Anamlinganisha Mbowe na Lowassa. Unadhani jamaa yuko serious? Omar kabadilika sana siku hizi. Alijificha kwenye kibanda cha ushauri wa kisiasa for a long lakini wachunguzi wa mambo tulimgundua zamani sana.

Omar ni kipenzi cha kudumu cha Kikwete. Alichukia sana kuona Slaa kakubali kugombea uraisi. Hizi chuki na matusi yote dhidi ya Slaa ni kwa vile Omar kaona kuwa Slaa ana nafasi kubwa ya kung'oa tonge toka kwa Kikwete.
Mkuu wangu sina sababu ya kutomsikiliza kwani huwezi kuwa na hoja ikiwa hujafahamu kinachomsibu mtoa hoja. Kisha namfahamu Omar sii kihivyo lakini inatosha sana kwangu kuweza kuelewa undani wa hoja zake.

haya maswala ya kulinganisha hakika ndio pumba ambazo nitazichambua mimi baada ya kumsikiliza yote alikuwa nayo kuliko kuchukua hukumu yangu kwa sababu tu ni mpenzi wa JK na Zitto dhidi ya Mbowe na Dr.Slaa..Kikubwa zaidi ni ujumbe wake.

Mkuu Omarlyas,
JK kumtoa Lowassa madarakani ina sababu nje kabisa ya Uongozi bora, tunafahamu chimbuko lake haswa! hawa bado ni maswahiba wakubwa kwa sababu kama kweli ingetokana na uongozi bora JK asingemweka Lowassa kuchakachua majina ya wagombea wa CCM ambao watakuja shindwa vibaya sana. Ni Lowassa aliyemfikisha JK hapa alipo na ndiye atakayemwangusha kesho.

Dr.Slaa hakuwekwa na Mbowe na wala hamtegemei Mbowe kufanikiwa isipokuwa nguvu ya chama na wananchi kwa ujumla akiwepo Zitto hata kama....
Kikwete ni rais mdhaifu, ametuonyesha udhaifu wake ktk maswala ya Lowassa na Mafisadi wote jambo ambalo hatuwezi kumhukumu Dr.Slaa kwa sababu ya maswala ndani ya chama wakati mwenyekiti wake ni Mbowe.
Mbowe aweza kuwa na mapungufu ambayo mengi yake umeyaelekeza kwa mtu mmoja tu - Zitto, lakini bado amepata upinzani ambao nina hakika JK asingeweza kuvumilia kama mwenyekiti wa CCM.
 
=Mkandara;1138275]Mkuu wangu sina sababu ya kutomsikiliza kwani huwezi kuwa na hoja ikiwa hujafahamu kinachomsibu mtoa hoja. Kisha namfahamu Omar sii kihivyo lakini inatosha sana kwangu kuweza kuelewa undani wa hoja zake.
haya maswala ya kulinganisha hakika ndio pumba ambazo nitazichambua mimi baada ya kumsikiliza yote alikuwa nayo kuliko kuchukua hukumu yangu kwa sababu tu ni mpenzi wa JK na Zitto dhidi ya Mbowe na Dr.Slaa..Kikubwa zaidi ni ujumbe wake.
Hivi ni lini mimi nilisema kitu chenye kuonyesha kuwa mimi ni mpenzi wa wa JK? Namheshimu kama rais wangu na ningependa kuona kuwa anafanikiwa kama Rais wangu na sio kama mgombea lakini hili la upenzi hapana....

Mkuu Omarlyas,
JK kumtoa Lowassa madarakani ina sababu nje kabisa ya Uongozi bora, tunafahamu chimbuko lake haswa! hawa bado ni maswahiba wakubwa kwa sababu kama kweli ingetokana na uongozi bora JK asingemweka Lowassa kuchakachua majina ya wagombea wa CCM ambao watakuja shindwa vibaya sana. Ni Lowassa aliyemfikisha JK hapa alipo na ndiye atakayemwangusha kesho.
Huu mjadala ulishazungumwa sana na nina uhakika una majibu zaidi ya mia moja na kila jibu lina kaukweli na kusadikika kwake

Dr.Slaa hakuwekwa na Mbowe na wala hamtegemei Mbowe kufanikiwa isipokuwa nguvu ya chama na wananchi kwa ujumla akiwepo Zitto hata kama....
Kaka kwanza ni muhimu ukajua katibu mkuu wa CHADEMA anapatikanaje. Pili ni kuwa kuwekwa ama kutowekwa kitu kimoja ambacho Dr Slaa ameprove na hii inahusishwa na malezi yake kiroho ni loyalty yake kwa authority ya juu. Na katika chama ni Mbowe. Mbowe anafanya mafyongo mengi ambayo Dr Slaa anaishia kuyasafisha na kushindwa kusimama hata kuhoji kwa nini Mbowe anayfanya hayo.....Sasa kweli ataweza kupambana na mafisadi papa na nyangumi kama hata Mbowe tu anamshinda???

Kikwete ni rais mdhaifu, ametuonyesha udhaifu wake ktk maswala ya Lowassa na Mafisadi wote jambo ambalo hatuwezi kumhukumu Dr.Slaa kwa sababu ya maswala ndani ya chama wakati mwenyekiti wake ni Mbowe.
Unadhani huo udhaifu wa Kikwete unaodai ulianza alipokuwa Rais....Kama Kikwete anachujwa kwa Rekodi yake ya karibuni na sasa kama Rais kwanini Slaa asichujwe kwa rekodi yake ya karibuni ama sasa kama Katibu wa Chadema??

Mbowe aweza kuwa na mapungufu ambayo mengi yake umeyaelekeza kwa mtu mmoja tu - Zitto, lakini bado amepata upinzani ambao nina hakika JK asingeweza kuvumilia kama mwenyekiti wa CCM.
Believe me mapungufu ya Mbowe ni zaidi na hizi hila zake za aibu kwa Zitto. Wewe unamjua zaidi...Yapo mengi ambayo nikianza kuyasema hapa itakuwa nasaliti harakati nzima za mabadiliko makini na mendeleo ya demokrasia kitu ambacho bado siku tayari...
 
Angalao Kikwete ana guts za kuuacha Lowassa ajiingize kitanzini...vipi Dr Slaa ni lini ameweza kusimama mbele ya maslahi binafsi ya Mbowe????

Second, Kuhusu ujuvi ama uledi wa masuala ya Utawala nina uhakika asilimia 100 kuwa Kikwete anamzidi Dr Slaa. Ofcourse Kikwete ana advantage ya kupewa nafasi ndani ya mfumo kujifunza kwa muda mrefu lakini ukiangalia mapambano na sasa majigambo, vikwerombwezo na mikwara ya Dr Slaa, kimoja kiancho onekana ni kuwa hajatumia muda wake kujifunza vya kutosha namna serikali ama utawala unavyofanya kazi......Rejea suala la NUSU YA MAAFISA WA USALAMA WA TAIFA KU-REPORT KWAKE.....Ama lile la kuhusisha dili la matrekta kutoka India na kumhusisha Shimbo kama binafsi wakati ukweli ni kuwa ni shughuli waliyopewa jeshi ambalo miaka yote mnasema litumike katika maswala ya maandeleo haswa sasa wakati hakuna vita....Bado lile suala la mfumo wa kibenki wa TISS ambalo mlidai kuwa ni fedha zilizokuwa zikpelekwa Idara ya Usalama...na mengine mengi ambayo sitayataja hapa kwa maslahi ya maendeleo ya demokrasia nchi...

Hivi tangu lini Jeshi limekuwa ni ma-expert katika maswala ya Kilimo ? Kweli , inahitaji akili za mwendawazimu kuitetea CCM.
 
Kubwa na la muhimu kabisa ni watu wooote tukapige kura 31st Oct kukata mzizi wa fitna. Kwa nchi yeu ilivyo mara nyinngine ni ngumu kujua nani ni nani katika misimamo yake maana ndio system inavyofanya kazi.
 
..hebu tutake radhi bwana omar. huyu JK anayehofia hata mdahalo lakini hakosekani kwenye madansi na mpira unataka kumlinganisha na Dr.Slaa?

I thought hili mdahalo Kinana alishaelezea...

Hivi leo hii Salva Rweyemamu ama Balile au Muhingo Rweyemamu aandae Mdahalo mtampeleka mgombea Urais ama Ubunge wenu???

Sasa mlitaka wafanyaje pale mhusika mkuu wa kampuni inayoratibu mdahalo huo ni Ansbert Ngurumo???
 
Angalao Kikwete ana guts za kuuacha Lowassa ajiingize kitanzini...vipi Dr Slaa ni lini ameweza kusimama mbele ya maslahi binafsi ya Mbowe????

Kikwete alikuwa amehusika na deal ya richmonduli (kama deal zingine zote za kifisadi zinazoendelea tanzania) moja kwa moja. Kuendelea kumtetea Lowassa ilikuwa ni suicide mission kwake. Ngoma ya richmonduli ilikuwa nzito. Kikwete alikuwa hana ujanja zaidi ya kumtoa kafara rafiki yake Lowassa.

Unapoongelea maslahi ya Mbowe, unaweza kuweka mifano ili ukaeleweka?

Second, Kuhusu ujuvi ama uledi wa masuala ya Utawala nina uhakika asilimia 100 kuwa Kikwete anamzidi Dr Slaa. Ofcourse Kikwete ana advantage ya kupewa nafasi ndani ya mfumo kujifunza kwa muda mrefu lakini ukiangalia mapambano na sasa majigambo, vikwerombwezo na mikwara ya Dr Slaa, kimoja kiancho onekana ni kuwa hajatumia muda wake kujifunza vya kutosha namna serikali ama utawala unavyofanya kazi......

Kikwete hajafanya chochote kile zaidi ya kuendelea kuifilisi nchi.

Rejea suala la NUSU YA MAAFISA WA USALAMA WA TAIFA KU-REPORT KWAKE.....Ama lile la kuhusisha dili la matrekta kutoka India na kumhusisha Shimbo kama binafsi wakati ukweli ni kuwa ni shughuli waliyopewa jeshi ambalo miaka yote mnasema litumike katika maswala ya maandeleo haswa sasa wakati hakuna vita....Bado lile suala la mfumo wa kibenki wa TISS ambalo mlidai kuwa ni fedha zilizokuwa zikpelekwa Idara ya Usalama...na mengine mengi ambayo sitayataja hapa kwa maslahi ya maendeleo ya demokrasia nchi...

Tatizo lako unadhani kuwa jeshi na watu wa usalama wa taifa wako juu ya sheria. Dr Slaa yeye hafuniki kombe tu ili mafisadi walioko jeshini wapite. Kama watu wanafilisi nchi lazima watajwe. Na hii ni moja ya plus (wewe unadhani ni negative) ya Dr Slaa.
 
I thought hili mdahalo Kinana alishaelezea...

Hivi leo hii Salva Rweyemamu ama Balile au Muhingo Rweyemamu aandae Mdahalo mtampeleka mgombea Urais ama Ubunge wenu???

Sasa mlitaka wafanyaje pale mhusika mkuu wa kampuni inayoratibu mdahalo huo ni Ansbert Ngurumo???

Unaona. ... ha aha ha .. Omar anaongea exactly talking points za mafisadi wa ccm.
Kama tatizo ni muandaaji wa mdahalo, kwa nini ccm wasiombe kutumia mtu tofauti na Ngurumo. Kuna watu kibao - jenerali Ulimwengu akiwa mmoja wao - wanaweza kuaanda midahalo Tanzania.

Kubali tu kuwa raisi wako kipenzi - fisadi Kikwete - ni kilaza wa kupindukia na hana uwezo wa kushiriki midahalo Tanzania.
 
Hivi tangu lini Jeshi limekuwa ni ma-expert katika maswala ya Kilimo ? Kweli , inahitaji akili za mwendawazimu kuitetea CCM.

First, Sasa unakubali kuwa ni jeshi na sio SHIMBO kama ambavyo Dr Slaa alivyochukua "data" hapa jamiiforums na kuzilipua katika kampeni...

Pili, hivi tangia lini jeshi likawa halijihusishi na maswala ya kilimo. Lakini hili la matrekta mlitaka dili wapewe kina Manji na sio Jeshi ambapo wataweza kuinua kiwanda cha NYUMBU ambacho kitakuwa na jukumu fulani katika zoezi hilo. Lakini pia jeshi kwa kupitia JKT sina lina shirika la biashara la SUMA ambalo lina uwezo mkubwa wa kufanikisha jukumu hilo walilopewa???

Jamini hizi petty partisan interests zisitufanye kusahau "uzalendo" wa kuliwezesha na kulithaminni jeshi letu mradi tu ama halijafakamia kushabikia ajenda yenu ama limewajibika kutoa onyo kwa WAKOMBOZI wenu ambao wapo tayari kuwahamasisha watu KUMWAGA DAMU ili mradi wafanikishe mradi wao....
 
Unaona. ... ha aha ha .. Omar anaongea exactly talking points za mafisadi wa ccm.
Kama tatizo ni muandaaji wa mdahalo, kwa nini ccm wasiombe kutumia mtu tofauti na Ngurumo. Kuna watu kibao - jenerali Ulimwengu akiwa mmoja wao - wanaweza kuaanda midahalo Tanzania.Kubali tu kuwa raisi wako kipenzi - fisadi Kikwete - ni kilaza wa kupindukia na hana uwezo wa kushiriki midahalo Tanzania.

Nilidhani utanibishia kuwa Ansbert Ngurumo, mshauri wa Dr Slaa masuala ya habari hahusiki na kampuni iliyotaka kuratibu mdahalo huo unaleta kusema watu vilaza kama vile wewe umetuanyesha credentials za u-kipanga wako tayari...

By the way, haya ya Ansbert mbona nilishayaongelea kabla hata CCM hawajaanza kuyaongelea....please I have my independent mind and dont need anybody's talking points to use my mind...

While Jenerali anaweza kuwa sio mshabiki wa Slaa lakini kamwe hawezi kuwa neutral when it comes to CCM...
 
U mean Zitto huyuhuyu wanayepita kuchangishana ili wawezeshe wapinzani wake ili ashindwe uchaguzi???? Huyu huyu wanayetumia gazeti lao kila kukicha kumjengea chuki katika chama chake??? Huyuhuyu wanayemtukana hapa JF mradi tu alidare kumchallenge Waziri Mkuu na Rais (2015) wao mtarajiwa???? Kwa kweli hata mimi namshangaa uvumilivu wake.......but wewe ni wa upande ule mwengine hivyo sishangai ukawa na fikira hizi....

Huu ni udaku kama wa watoto wa chekechea...... .Omari, unataka tena kuanzisha ugomvi hewa ambao hauna sababu yoyote..... na kwa vile watu wanakujua nia yako, hakuna mtu ataenda huko kwenye propaganda zako za ccm.
 
First, Sasa unakubali kuwa ni jeshi na sio SHIMBO kama ambavyo Dr Slaa alivyochukua "data" hapa jamiiforums na kuzilipua katika kampeni...

Pili, hivi tangia lini jeshi likawa halijihusishi na maswala ya kilimo. Lakini hili la matrekta mlitaka dili wapewe kina Manji na sio Jeshi ambapo wataweza kuinua kiwanda cha NYUMBU ambacho kitakuwa na jukumu fulani katika zoezi hilo. Lakini pia jeshi kwa kupitia JKT sina lina shirika la biashara la SUMA ambalo lina uwezo mkubwa wa kufanikisha jukumu hilo walilopewa???

Jamini hizi petty partisan interests zisitufanye kusahau "uzalendo" wa kuliwezesha na kulithaminni jeshi letu mradi tu ama halijafakamia kushabikia ajenda yenu ama limewajibika kutoa onyo kwa WAKOMBOZI wenu ambao wapo tayari kuwahamasisha watu KUMWAGA DAMU ili mradi wafanikishe mradi wao....

Do you really think before you embark in writing your propaganda?
 
Huu ni udaku kama wa watoto wa chekechea...... .Omari, unataka tena kuanzisha ugomvi hewa ambao hauna sababu yoyote..... na kwa vile watu wanakujua nia yako, hakuna mtu ataenda huko kwenye propaganda zako za ccm.

Sawa kama udaku we kaa kimya lakini wahusika wanajua ukweli wake.....na wewe kama hujui hali ilivyo nyumbani kwako basi fungua akili ujifunze zaidi...
 
Nilidhani utanibishia kuwa Ansbert Ngurumo, mshauri wa Dr Slaa masuala ya habari hahusiki na kampuni iliyotaka kuratibu mdahalo huo unaleta kusema watu vilaza kama vile wewe umetuanyesha credentials za u-kipanga wako tayari...

While Jenerali anaweza kuwa sio mshabiki wa Slaa lakini kamwe hawezi kuwa neutral when it comes to CCM...

Kuna watu wengi tu Tanzania wanaweza kuwa neutral. Huwezi kukataa mdahalo kwa sababu tu ya muandaaji.
 
Sawa kama udaku we kaa kimya lakini wahusika wanajua ukweli wake.....na wewe kama hujui hali ilivyo nyumbani kwako basi fungua akili ujifunze zaidi...

udaku ni udaku... na kama kawaida ya hii forum, udaku huwa unapewa hadhi inayostahili - jina la udaku.
 
Do you really think before you embark in writing your propaganda?

Why dont u enlighten me whether the army has no role in farming...labda mwenzangu upo ughaibuni u dont even know about our army...ama unajua zaidi historia na utamaduni wa jeshi letu kuliko kina sisi vilaza wa mungu...
 
Back
Top Bottom