mtazamo huu wa maggid unaweza kuwa na ukweli ndani yake, lakini ni too simplistic. Mfano, ushindi wa national rainbow coalition kenya kwa namna moja au nyingine ulitegemea kwa kiasi kikubwa infuence na sheer personality ya raila odinga kuhamasisha umma, na siyo makada au mfumo wa uongozi wa nrc.
si kweli ushindi wa narc ya kenya mwaka 2002 ulitegemea influence na sheer personality ya raila odinga bali ukweli ni kuwa vyama vikuu vya upinzani vya dp ya mwai kibaki na kile cha raila, cha bi charity ngilu na vyama vingine viliunganisha nguvu kwa kushirikiana na vigogo waliojiengua toka kanu akiwemo makamu wa rais george saitoti na waziri musalia mudavadi na kuweza kuitoa kanu madarakani!!