wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,084
- 1,065
Kama ambavyo inajulikana manenk mengi ya kitaa huanzia jela.. Inasemekana jela ndiyo kuna masela wengi na maneno mengi ya kihuni huanzia huko.
Ingizo jipya mwaka huu ni neno'mzee baba"hili lina maana ya mchizi wangu...msela,Mwana..kachala..na mengine yafananyo na hayo..kwa mfano unaweza kumwita jamaa yako ..oya mzee baba hebu njoo Mara moja.
Ikutoshe tu kwa hayo.