Neno jipya la mjini"Mzee baba"

Neno jipya la mjini"Mzee baba"

mzee baba umetisha....kinoma noma.....najaribu...kulitumia
 
Mkuu sioni haja ya kutukana...halafu matusi hayajusaidii kitu kikubwa tu mi nakuona hujielewi..kila mtu anajua matusi but kwangu hayasaidii kitu kabisa na nakuona mtoto sana ukikua utaacha..sioni sifa kusema hivi lakini kama matusi level nilikuwa ni EXPERT.Angalia sana..ni ushauri wa bure.
Kajambe mbele we we
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom