Neno Gere la Weusi limekaa ki taarabu sana

Neno Gere la Weusi limekaa ki taarabu sana

Chuki haukuzaliwa nao umeipandikiza tu kama vipi vaa miwani usione gere temeke uita micheleee atown hatuna kwere tunakimbiza kimbiza husain bolt haha hauna career benchi unasugulia.
 
Its very sad hujajua walichosema in that song na umefanya haste generalization aand judgement. Sasa huwezi kumhukumu mtu alafu ndio umsikilize.

Infact katika vijana waliotoa speech kali kwene tuzo jana ni Nikki wa pili sidhani kama watu walimuelewa
 
Niki's speech was awesome!

Tofauti ya shule na "vumbi"

Performance za weusi zipo juu kila siku, Wasanii wa Hip Hop ambao huijaza Club Maisha wakipiga show.

Uliona tofauti ya show ya Weusi na Madee???
 
Still Gere ni neno la kike kike !
Wewe nyamaza! au unataka kila mtu akusikie ulivyo kilaza wa lugha ya kiswahili,pssst piga kimya mwanangu wa miaka mitano anapita atakucheka bure!
 
Hip Hop ina nguzo nyingi ! Haiwezi kuwa kwa wanaume tu !

Ila neno ''Gere'' lina maadhi ya kike na ki taarabu !
Kwani umesikia kifaransa au kiitaliano hichi,waswahili hatuna maneno ya kike wala ya kiume! kama unavyoona waingereza hawana baba mdogo wala mama mdogo!
 
Kwani umesikia kifaransa au kiitaliano hichi,waswahili hatuna maneno ya kike wala ya kiume! kama unavyoona waingereza hawana baba mdogo wala mama mdogo!

Unaelewa tunachozungumzia hapa ! Au unadakia dakia tu ?

Dandia gari sio maneno !
 
Unaelewa tunachozungumzia hapa ! Au unadakia dakia tu ?

Dandia gari sio maneno !
Nimeelewa na najua unajua kama nimeelewa lete hoja pinzani sio mipasho hapa!huwezi kupotosha lugha kwa kujificha kwenye hip hop ,narejea lete hoja yako!
 
Nimeelewa na najua unajua kama nimeelewa lete hoja pinzani sio mipasho hapa!huwezi kupotosha lugha kwa kujificha kwenye hip hop ,narejea lete hoja yako!

Mwalimu wako wa kiswahili ! Alikuelezea maana ya ''maadhi'' ?
 
Unataka lingetumika neno gani hasa hapo?
 
Back
Top Bottom