Neno gani la "kibongo" linakupiga chenga??


Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,656
Likes
4,086
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,656 4,086 280
Makinikia - Hilo neno utalipata likitumiwa na wabongo sana wanapohoji mikataba ya madini Tz. Utapata neno hilo linatumika kama verb (kitendo) na pia kama noun (nomino)
Utamsikia mTz akisema:
"Mnafurahi Jiwe amevunja mikataba ya Accacia, MAKINIKIA mikataba mipya atakayo saini ndio mtajuta"
Tena utasikia:
"Accacia wamekuwa wakisafirisha MAKINIKIA bila uwazi, wana mjuta Jiwe sana"
 
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
8,034
Likes
4,224
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
8,034 4,224 280
Ewaaa! Lahaja ya Kitumbatu ni ya ajabu sana. Yaani unapotea kabisaaa. Mathalani:

Bamwanamke= baba mdogo, Ami
Bebeyu= Beberu
Bupuru= fuvu la kichwa
Buchari= kisu
Gubuya= sema ukweli
Ima= simama

Wana lahaja za ajabu hawa Wakitumbatu.

Kingine Kipepeo anayeruka ruka Wapemba wanamuita Kurukufu.
Watanzania au Wacomoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
7,986
Likes
3,445
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
7,986 3,445 280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
8,034
Likes
4,224
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
8,034 4,224 280
Na wakazi wa kwenu huko Mombasa, kuna mmoja alikuwa anazungumza katikati ya mazungumzo akasema "Yule ni mnono sana" nikabaki hee! Huyu si anamzungumzia mwanaume mwenzake! Baadae kuelewa kumbe alikuwa ana maanisha ni mnene(bonge).
Hahah

Pia wanapenda kuita bibi au bwana yake wakimaanisha mume au mke wake.

Au mtu wa kando yaani hawara au mchepuko wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ze last Born

Ze last Born

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2018
Messages
908
Likes
1,106
Points
180
Ze last Born

Ze last Born

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2018
908 1,106 180
Nipo humu JF kitambo sana lakini sijawahi kujua asili ya maana ya haya maneno ilikotokea..
1.Papuchi
2.Kugegeda
3.Mkuyenge
4.Mbunye
Nisaidieni wakuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,424
Likes
21,158
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,424 21,158 280
Dingo/Pinji - kibaka
Sanya - iba
Peremba/Perembwa - kaba/kabwa
Keja - ghetto/nyumba
Toka teke - kimbia haraka
Buda - baba
Tao - mjini
Lolo - penis
Mathe - mama
Masai - shillingi mia
Githeri pia inaitwa odhero
Mob - nyingi/wengi
Oshago - kijijini
Dinya - gegeda
Baro - barabara
Lembe - mbele

Yapo mengi nikikumbuka ntaweka
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
11,608
Likes
14,278
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
11,608 14,278 280
Dingo/Pinji - kibaka
Sanya - iba
Peremba/Perembwa - kaba/kabwa
Keja - ghetto/nyumba
Toka teke - kimbia haraka
Buda - baba
Tao - mjini
Lolo - penis
Mathe - mama
Masai - shillingi mia
Githeri pia inaitwa odhero
Mob - nyingi/wengi
Oshago - kijijini
Dinya - gegeda
Baro - barabara
Lembe - mbele

Yapo mengi nikikumbuka ntaweka
Hii kitu sini sheng ya Nai!
 
N

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
1,222
Likes
1,735
Points
280
N

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2016
1,222 1,735 280
Dah hili neno chimbuko lake hata sijui ila linamaanisha...alama ya mshangao tu kama vile "asalalee"

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo, hilo ni neno la mtaani ambalo limepunguzwa makali ila limesimama nyuma ya lile tusi maarufu ".....make" ambalo mtu hulitamka kwa mshangao kama reaction ya unusual situation
 
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
1,484
Likes
1,787
Points
280
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
1,484 1,787 280
Watanzania au Wacomoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wa-Tanzania wapo Zanzibar.

Zanzibar ni muunganiko wa Visiwa 2 Pemba na Unguja. Lakini kaskazini magharibi mwa Unguja ndipo kinapopatikana hiki kisiwa. Kina urefu wa km 7 na upana wa km 2. Kina wakazi wachache tu ni 20,000.
 

Forum statistics

Threads 1,262,510
Members 485,585
Posts 30,124,488