Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
Hii habari bila picha ni uchovhezi. Na utatakiwa central Mara moja . after all huna jinsia walinga na nini
 
Mkuu uchi unaufahamu? Mm sikukaa uchi. Nilipiga selfie nikiwa nimevaa T-shirt aina ya usinimaindi ziwa moja ndiyo likawa nje. Siku wa uchi
Aisee! Wanaume tunakazi kubwa sn.Kumbe ni fashion kuacha ziwa moja nje!!!!!!kitendo hicho hakikubaliki ni kukaa uçhi.
 
Kwa style hii lazima K yako itaota usugu tu. Itasukutuliwa balaa na kila men!!

Afu ujinga, ndio mnaona ujanja!!
 
nauliza sexless unasoma chuo au uk mtaani tu!? naomba nijue status yako kwanza!? tafadhali
 
Malaya wa humu nshawachoka.
Wanajiuza waz waz.

Ehee weka bei kabisa tusije kusumbuana.

Sexless
Mkuu Swaziland ni kawaida kabisa na ni fahari kwa wadada kuacha matiti wazi. Lkn ndiyo nchi yenye maambukizi kiduchu kabisa ya virusi vya ukimwi miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jqngwa la Sahara. Wakati huo huo Afrika Kusini nchi ambayo ndiyo pekee inayopakana na Swaziland inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi.

Hii maana yake nini? Kuachia manyonyo wazi hakuna mahusiano na umalaya. Umalaya ni akili ya MTU. Jamani naombeni mjenge hoja msikalie kutusi tuuu huku mkijificha kwenye kichaka cha maadili.
 
Mkuu akili yako na mtazamo wako vimefungwa na mazingira uliyokulia. Na tunaposema fulani mshamba hatumtusi, tunamuamsha na kumzindua toka kifungoni.

Angalia hawa waswaziland, hapa wanapita mbele ya mfalme wao. Ni sherehe ya kitaifa hapa. Je, wote hawa siyo wife material?View attachment 651077 View attachment 651077
Huo ni utamaduni wa waswaziland lakin kama tuna adapt sawa acha tuendelee tuu lakin' lakin yote kwa yote fainali uzeeni kwani hapo chuoni ni sehemu nzr sana kwa nyie vijana kufanya right choice karibuni mtaani mpo shazi
 
Mmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.

Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
uko sawa kabisa!
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
040573e37a73ba1ca6b7af52b110bba5.jpg
7f7fec38fe9011086f480eca23485517.jpg

Unashangaza watu
 
Umeona eeh! ?? Watu hupenda kumjaji mtu kwa mavazi. Wanasahau kuwa umalaya ni tabia iliyo ndani ya MTU mwenyewe. Umdhanie ndiye siye ktk ulimwengu wa cheating.
Wewe Sexless ndiye!
 
Wala siuzi na hakuna wa kunitumia. Na wewe ni wale wale mkuu, mliokuja mjini kwa lori la ng'ombe wanaopelekwa mnadani, au kama siyo hivyo unaishukuru TCU. Mtu kujiachia unahusianisha vipi na umalaya? Duuh!
Kuna kitu sio bure!
 
We.mpumbavu kweli!!Umesema mwenyewe kuwa mwanamke sura tabia atafundishwa na.mumewe,sasa mbona hutaki kufundishwa tabia njema?Unaona raha kukaa uchi eee?

Hata mimi lazima ningekupiga chini kahaba ww.
Yaani ni mpumbavu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom