- Thread starter
- #101
Angalia hawa mabinti wa Swaziland (waafrika wenzetu ) ktk sherehe yao ya kitaifa mbele ya mfalme wao.Duh nyie watoto wetu jamani huko mnakoenda siko kwa hiyo NYONYO ni sehemu ya public ushindwe na ulegee wewe mtoto.

We.mpumbavu kweli!!Umesema mwenyewe kuwa mwanamke sura tabia atafundishwa na.mumewe,sasa mbona hutaki kufundishwa tabia njema?Unaona raha kukaa uchi eee?Hee! Jamani!
Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.
Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.
Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.
Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.
Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.
Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.
Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.
Ni hayo tu.
Mwanangu jamani hebu twende taratibu, Je huo ni utamaduni wetu watanzania? Hata kama ni waafrika wenzetu bado hii haiondoi ukweli kwamba utamaduni huo haufai hata kidogo. Kama unakumbuka ndo maana first lady wetu mstaafu aliposhiriki hilo tukio alikosolewa sana. Na kwa ufupi huo ni udhalilishaji wa wanawake.Angalia hawa mabinti wa Swaziland (waafrika wenzetu ) ktk sherehe yao ya kitaifa mbele ya mfalme wao.View attachment 652434
Hata hapa sijasema nilivaa nikatembea bali nilipiga picha nikaweka dp tu. Labda hujanisoma vemakama unaona kuweka nyonyo nje ni ujanja vaa sketi tu, na uende sokoni.
Na kama utaona huwezi basi we siyo mjanja ila ni Mpumbav
Huyu siku nyingine mwanaume Na siku nyingine mwanamkeBiashara ni matangazo
ungetembea ungeonesha wa njiani tu, ila kuweke net ulionesha dunia nzima au hujielewi nn?Hata hapa sijasema nilivaa nikatembea bali nilipiga picha nikaweka dp tu. Labda hujanisoma vema
Hahaaaahahaaa! DuJinsia yake haieleweki inategemea na anavyoamka mkuu
Embu nitumie hiyo picha huku 0623474096 nione ushamba wa huyu ndugu yangu asijekuwa anatuaibisha mjini sisi watu wa kolomijeHee! Jamani!
Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.
Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.
Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.
Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.
Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.
Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.
Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.
Ni hayo tu.
Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanzaKumbe sexless ni demu, nkajua dume .
Mambo niMmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.
Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
mkuuu ....changamoto za wadada wa das lamuWewe mwanaume mwenzangu kumbe una nyonyo zuri upande wa usinimindHee! Jamani!
Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.
Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.
Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.
Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.
Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.
Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.
Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.
Ni hayo tu.
Huna akili, mwili wako si daladala la kila MTU. Mburula sana weweHee! Jamani!

Ulipoweiweka Dp ulifaidi nini?Hata hapa sijasema nilivaa nikatembea bali nilipiga picha nikaweka dp tu. Labda hujanisoma vema