Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Sitangazii MTU. Niliweka kwa raha zangu, na mashosti zangu wakamimina kongole za nguvu.

Sema tatizo hapa kuna wadada manyonyo yao yamekaa hovyo. Hivyo wananionea wivu. Wababa nao wake zao hali za manyonyo ya mademu/wake zao ni tete hivyo wivu umewajaa.
Makalio yanapochukua kazi ya ubongo!
 
Jamaa mjanja sana hyo ndo mwanaume kashtuka hapo hakuna mwanamke. Hakuna mwanaume anayeweza kubali ujinga huo labda wavulana
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
Wanawake kama nyie ndo mnafanya hata wanaume tusitamani kuoa,hivi kama manyonyo,mapaja,mbunye njenje tunaoa ili tuone nini ambacho hatujaona?ukweli mwanamke asiyejisitiri kwangu hana nafasi kabisa.wewe unayetaka kila mtu aone utamu wako utaishia kuliwa na kuachwa.
 
040573e37a73ba1ca6b7af52b110bba5.jpg
7f7fec38fe9011086f480eca23485517.jpg

Unashangaza watu
kumbe tunahanagaika na wakupumuliwa
 
Sitangazii MTU. Niliweka kwa raha zangu, na mashosti zangu wakamimina kongole za nguvu.

Sema tatizo hapa kuna wadada manyonyo yao yamekaa hovyo. Hivyo wananionea wivu. Wababa nao wake zao hali za manyonyo ya mademu/wake zao ni tete hivyo wivu umewajaa.
Sidhani kama kuna mwanaume anaweza kuweka wivu kwa kimada/hawala/demu ambaye si mkewe. Labda mvulana.
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
Wewe ni fala. Asichokipenda mwenzio usikifanye Uzi humu. Mjinga na moja Africa. Naye atampata wa kujistiri. Binafsi nakuona huna akili.
 
Ameshikwa Leo huyu boya. Au ni double genda?? Acha kucheza na wanaume wewe!
haya ndiyo yanayowachafua wanawake wasafi yaani lilivyo la ajabu eti bado likaendelea kutetea kitendo chake cha kisenge eti limevua titi moja tu
 
Mkuu akili yako na mtazamo wako vimefungwa na mazingira uliyokulia. Na tunaposema fulani mshamba hatumtusi, tunamuamsha na kumzindua toka kifungoni.

Angalia hawa waswaziland, hapa wanapita mbele ya mfalme wao. Ni sherehe ya kitaifa hapa. Je, wote hawa siyo wife material?View attachment 651077 View attachment 651077
Wote Pimbi tuu hao
Watu wa human right wako wapi
That is sexual slavery
 
Mkuu Swaziland ni kawaida kabisa na ni fahari kwa wadada kuacha matiti wazi. Lkn ndiyo nchi yenye maambukizi kiduchu kabisa ya virusi vya ukimwi miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jqngwa la Sahara. Wakati huo huo Afrika Kusini nchi ambayo ndiyo pekee inayopakana na Swaziland inaongoza kwa maambukizi ya ukimwi.

Hii maana yake nini? Kuachia manyonyo wazi hakuna mahusiano na umalaya. Umalaya ni akili ya MTU. Jamani naombeni mjenge hoja msikalie kutusi tuuu huku mkijificha kwenye kichaka cha maadili.
Haki ya Nani una roho ngumu....
 
Wanawake kama nyie ndo mnafanya hata wanaume tusitamani kuoa,hivi kama manyonyo,mapaja,mbunye njenje tunaoa ili tuone nini ambacho hatujaona?ukweli mwanamke asiyejisitiri kwangu hana nafasi kabisa.wewe unayetaka kila mtu aone utamu wako utaishia kuliwa na kuachwa.
Mm sijaonyesha hiyo sijui unaita utamu, mbunye na majina mengine kibao. Niliacha titi moja nje nikachukua selfie nikaweka DP. Hayo mengine ya kwako tu mkuu. Nisome tena
 
Wewe ni fala. Asichokipenda mwenzio usikifanye Uzi humu. Mjinga na moja Africa. Naye atampata wa kujistiri. Binafsi nakuona huna akili.
Hapa mkuu hujajenga hoja yoyote. Na ukiangalia kati ya mm mleta mada na wewe mtoa maoni unagundua kabisa kwamba mtoa maoni umezidiwa nguvu na mada. Ndiyo maana matusi yanakutoka mwanzo mwisho. Jikite kwenye mada. Elezea mtazamo wako bila kutumia matusi
 
haya ndiyo yanayowachafua wanawake wasafi yaani lilivyo la ajabu eti bado likaendelea kutetea kitendo chake cha kisenge eti limevua titi moja tu
Hakuna hoja yoyote ya mtu kuondoka nayo ktk maoni yako. Sana sana naona lugha ya kuudhi tu. Ungeeleweka vizuri kama ungenipinga kwa hoja
 
Achaaa ushambaaa weee mama
Ushamba ni relative term. Kwahiyo inategemea unanilinganisha na nani, mwenye kifungo kipi kichwani kwake kilichosababishwa na mazingira aliyokulia.

Hata mmasai MTU anayekula samaki/kuku anamuona mshamba. Mwanamke wa kikurya aliyekeketwa anamwona asiyekeketwa ni mshamba. Kwahiyo hili neno mshamba halinipi shida mm.
 
Bora umemuachia kaka wa watu asepe, and we wish him luck in finding the ideal woman.

Mwanamke gani, usiejua kujistiri, huelekezeki, hushauriki?

Urembo wako, uzuri wako umuonyeshe nani zaidi ya mume wako mtarajiwa?

Once my husband told me, that a man in a woman's life, guides her, protects her and and maintains her image in society.

Nakupa pole, na yeye namwambia big up. Good riddance and better luck next time.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom