Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Nahisi huyu bae Amechunwa mpaka amebaki ngozi sasa akawa anatafutiwa sababu lakini dah!
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
Tafadhali sana, naomba uweke picha uliyoweka kwenye dp yako.
Nina ujumbe mahususi nataka nikupe
 
Uliweka hyo dp kutafuta wateja sio au ndyo ujanja,,,, ipo cku hyo unamuita mshamba utamtafuta
 
Weka pia na kibumbu chako kwa dp yako washamba wata mind sababu wana care wajanja hawato mind wenyew wakugonge tu waondoke why wa mind wakati wenyew wanakula nakusepa ..haujielewi bidada ila kunasiku utajielewa siku hilo chuchu litakuwa kama soksi.
 
Njoo kwangu sexless my love, mie napenda sana hizo pamba za "usinimind" kwangu hata utembee uchi me sina neno mradi tu usitoe tunda langu!! Kuna mijitu mingine inajitanda na kuvaa migauni mirefu na inayopwaya kumbe ni mimalaya kuliko changudoa!!
We kweli mdomobakuli
 
Ndoa siyo kifungo mkuu. Kwamba kwa kuwa nataka nidumu basi niishi kinyume na matakwa na matamanio ya nafasi yangu. No and never in my life.
Utoto tu ndio unakusumbua, subilli tu siku inakuja ambapo utatamani usingekua umeyafanya haya unayoyafanya sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom