Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Pumbavu kabisa. Kujianika huko kunakusaidia nini?

Je kama ulijua kuwa tabia utafundishwa na mumeo huoni kuwa huyo alikua anakufundisha tabia njema?

Acha ukahaba
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba (mkolomije), tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mkolomije huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.

Kumbe umekuja kunisema huku!!!
Punguza hasira mpenzi ili tutimize malengo, sijapenda ulivyoweka hiyo picha dp kwani mimi vitu navyofaidi sipendi kila mtu avione. Basi nimeamua hiyo nguo uwe una vaa night tunapotoka wote out, ila iondoe kwa dp!! Ujue bado nakupenda mrembo wangu. Umeniblock basi njoo pm tuyajenge.
 
Akimind tena vua nguo zote tembe road, masaa mawili
Mm siyo kichaa mkuu. Halafu kumbuka nilipiga picha tu nikaweka dp. Habari kusema sijui tembea barabarani inahusiana vipi na mada yangu. Hata hiyo WhatsApp yenyewe siyo kwamba nina contacts za nchi ama mtaa mzima. Ni mashosti zangu ndiyo wapo humo. Wote walimwaga compliments kasoro huyo mbwiga aliyevamia mji.
 
Sawa binti wa kudumu, lakini kumbuka hata bibi alikuwa binti. Endelea kukashfu ukidhani umri umesimama.
Sijakashifu. Nimesema sipendi mitazamo ya kizee. Maana mm siyo mzee, nikizeeka nitaipenda. Kila jambo na wakati wake mkuu. Sasa ulitaka niishi kama bibi ktk ujana wangu? Halafu nikiwa bibi nitaishi vipi?
 
Endelea kuuza hiko kitumbua na ushamba wako bora hata ya huyo kidume, ngoja tukutumiieeee then baadae uje hapa utafute mabwana kwa jasho na machozi. Mashetani wengine nyie ni wajinga hadi mnashangaza.
Wala siuzi na hakuna wa kunitumia. Na wewe ni wale wale mkuu, mliokuja mjini kwa lori la ng'ombe wanaopelekwa mnadani, au kama siyo hivyo unaishukuru TCU. Mtu kujiachia unahusianisha vipi na umalaya? Duuh!
 
Mjanja akizeeeka anakuwa mashamba inawezekana mashamba akizeeka anakuwa mjanja tena sana tuuu watu unaweza kuchagua umalize vip au uanze vip
 
Mjanja akizeeeka anakuwa mashamba inawezekana mashamba akizeeka anakuwa mjanja tena sana tuuu watu unaweza kuchagua umalize vip au uanze vip
Akiwa mjanja uzeeni atafanya mambo ya kitoto (kisharobaro/kisista du) halafu aishie kupata aibu
 
Ha ha ha,ameletwa mjini na TCU........angechaguliwa UDOM ingekula kwake
 
Umeanza vizuri lkn jinsi ulivyomalizia!! Hapana. Hapa unataka kunipotosha mkuu. Papuchi ni moja ya sehemu zijulikanazo kama za siri. Sijasoma popote palipoandikwa nyonyo ni sehemu ya siri.
Duh nyie watoto wetu jamani huko mnakoenda siko kwa hiyo NYONYO ni sehemu ya public ushindwe na ulegee wewe mtoto.
 
kama unaona kuweka nyonyo nje ni ujanja vaa sketi tu, na uende sokoni.

Na kama utaona huwezi basi we siyo mjanja ila ni Mpumbav
 
Wala siuzi na hakuna wa kunitumia. Na wewe ni wale wale mkuu, mliokuja mjini kwa lori la ng'ombe wanaopelekwa mnadani, au kama siyo hivyo unaishukuru TCU. Mtu kujiachia unahusianisha vipi na umalaya? Duuh!
Hahahaa nasikitika kusema wewe ni kamalaya mkuu.
 
Kwa hiyo dada umejiona mjanjaa, elewa tu wajanja hawavai hovyo na wanajielewa ila ww unaonekana limbukeni
 
Hawakawiagi kuja kusema wanatafuta mume wakati sasa wanawaita washamba haya dada tupo tunakusubir upate mjanja
 
Weka hyo picha tuione maana inawezekana wewe ndo mshamba mitandao
 
aiseee! hebu tuambie unatumia jina gani sisi wajanja tukusake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom