Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

mh ningekuwa mimi ningeomba uweke yote nje ili yaonekane vizuli bwana biashara ni matangazo.
 
Njoo kwangu sexless my love, mie napenda sana hizo pamba za "usinimind" kwangu hata utembee uchi me sina neno mradi tu usitoe tunda langu!! Kuna mijitu mingine inajitanda na kuvaa migauni mirefu na inayopwaya kumbe ni mimalaya kuliko changudoa!!
 
Hata mm nmemuacha mkolomoje juzi juzi, alinidanganya kuwa hana Mtoto...kila siku lazima atume pesa kwao Mara Elfu 5 mda mwingine 10 akidai anamtumia bibi yake hali mbaya kwao, Nmeamua kufuatilia nikagundua na kuambiwa aliacha watoto watatu kila mmoja na baba yake alafu hao wazazi hakuna anayehudumia. Nami nimemuacha ghafla tena kikabe km afanyavyo JPM... Nasikia kwa jiran amerudi kwao kolomije...sina habar naye...acha kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe...wakolomije buana!!
 
Bila pic ni Story za vijiweni iliamradi liende... Umemlia boom Lake alopewa na bodi ya mikopo limeisha Now unamwita mkolomije
 
Kuna mijitu mingine inajitanda na kuvaa migauni mirefu na inayopwaya kumbe ni mimalaya kuliko changudoa!!
Umeona eeh! ?? Watu hupenda kumjaji mtu kwa mavazi. Wanasahau kuwa umalaya ni tabia iliyo ndani ya MTU mwenyewe. Umdhanie ndiye siye ktk ulimwengu wa cheating.
 
Nivyema umemfukuza kwani umempunguzia matatzo
Nadhani wewe hufai hata kua spear
MTU usiyemjua ni kama usiku wa giza. Right ungeliijua wala usingesema hivyo. Moyoni mwangu nimejaa mema, lkn napenda kujipa raha. Karaha naipa [HASHTAG]#kikono[/HASHTAG]
 
WEWE JAMAAA HUWA NAKUKUBALI SANA ,,POST ZAKO NIWACHACHE WANAKUELEWA .

UWE NIMWANAMME AU MWANAMKE AU MWANAMKEMME ,WEE JUA .POST ZAKO NAZIELEWA SANAAAA.
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba (mkolomije), tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mkolomije huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.

Wife material hawawezi fanya hilo ulilofanya, mwanamke javi la wageni ni kawaida kuona uliyofanya
 
Mmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.

Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
Haswa hilo nalo neno
 
Wife material hawawezi fanya hilo ulilofanya, mwanamke javi la wageni ni kawaida kuona uliyofanya
Mkuu akili yako na mtazamo wako vimefungwa na mazingira uliyokulia. Na tunaposema fulani mshamba hatumtusi, tunamuamsha na kumzindua toka kifungoni.

Angalia hawa waswaziland, hapa wanapita mbele ya mfalme wao. Ni sherehe ya kitaifa hapa. Je, wote hawa siyo wife material?
images.jpg
images.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom