Me too.
Nashaurika sana tu. Ila huwa nahoji kwanza ushairi kabla ya kuupokea.
Kosa ni kuonyesha sehemu za siri na siyo kuonyesha urembo. Matiti siyo sehemu za siri. Angalia asili ya mwafrika, angalia baadhi ya tamaduni za waafrika walio wengi hadi leo. Wamang'ati, wamasai, waswat (wa Swaziland), wabotswana walio wengi. Naomba maelezo ya kina juu ya hili.
Kwa kufanya hivi tuna-promote mfumo dume. Tunamfanya mwanamke kuwa chombo cha kumfurahisha mume, mwanamke kiumbe dhaifu eti mpk kilindwe, kielekezwe halafu kimpe heshima mumewe kwenye jamii. Kama sina mpango wa kuwa na mume??
To hell. I don't care!