ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,279
- 22,011
hana ishu huyo njaa tu na wivu kwanini kala mchechu mwenyeweHilo ndilo swali ninalomuuliza , anajifanya yeye muadilifu. Muadilifu wapi hajapewa tu nafasi ya ulaji huyo. Wabongo kwa mbwembwe hatujambo
unadhani mchechu angempa bahasha katika huo upigaji angekuja kubwabwaja hapa