Nehemiah Kyando Mchechu, ajiuzulu ujumbe wa Bodi EABL

Conflict of Interest, Ina maana ndefu kwa ufupi pale unapotumia Personal company na kupata tenda kwenye shirika unaloongoza mwenyewe, madhara yake

1.Miradi mingi bei walioverstate ili kampuni binafsi zipate pesa nyingi

2.personel company inanunua maeneo kwanza halafu unaliuzia shirika unaloendesha mwenyewe kwa bei kubwa
Una ushahidi au ni wale wenye kuchukia matajiri tu...au ni team NHC mliokua mnataka nafas yake liwake jua inyeshe mvua aliyelifufua ilo shirika ni mchechu lilishakufa kama shrka la reli au kiwanda cha urafiki acheni chuki na husda...jamaa ni smart kchwan ambae ni msafi ni nani ktk haya mashrka...ata ktk biblia watu kama nyie mlitajwa
 
Kwa kipindi cha mkwere hata mimi ama wewe ama mtu mwingine yeyote yule angefanya vile tu.

Tusijivike umalaika tusiostahili

hapana boss, kupiga dili ni moyo wa mtu. wapo watu hawapigi dili bwana....let me tell u something kwa mtu mwenye malengo ya kuwa ceo nje ya tz ataleta ujinga huo. tatizo yeye aliona tz kafika.
 
Back
Top Bottom