Nehemiah Kyando Mchechu, ajiuzulu ujumbe wa Bodi EABL

Wabongo kwa ku pretend hatujambo. Hivi ni nani ambaye angepewa nafasi kama aliyokuwa kapewa mchechu na a sipige ulaji? Kwa miaka ya leo hii yupo?

Chuki tu na ubinafsi na roho mbaya. Kujiona malaika kumbe mbwembwe tu, useless kabisa
Tupo wengi ambao tunafanya kazi kwa maadili.
 
waafrica kazi tunafanya sana tu... shida ni wizi..

mtu kama mchechu hakuwa na sababu ya kuipa tenda kampuni yake.. ukitaka kula na kipofu.. usimshike mkono

unaongea na muhindi au mchina au mkenya..au raia yoyote wa nchi nyingine.. unampa matenda yeye... mgao wako anakuwekea huko huko majuu... sasa wewe unaipa tenda kampuni yakk.. au mkeo au mwanao.. why usishtukiwe
Alitufanya Watanzania mafala huyo Mchechu
 
Sema kwamba hujapata upenyo wa kupiga deal, maadili maadili bongo! Ilikuwa mwalimu Nyerere tu sio wapiga kelele wa leo

Nani asiyetaka maisha bora tz hii
Aliyekwambia maisha bora upatikana kwa kupiga deal nani!?

Acha mawazo ya aina hiyo wewe utapotea.
 
Sasa usilalamike pale nchi isipoendelea...Kula unakula lakini wee Wala mpaka watu wanastuka.
Mie alichoniboa huyu jamaa ni kusema eti low cost housing haiwezekani....
Kwa kipindi cha mkwere hata mimi ama wewe ama mtu mwingine yeyote yule angefanya vile tu.

Tusijivike umalaika tusiostahili
 
Wewe si uliambiwa Kanisa lako kuliongoza huko mbeya uwe na at least Diploma, umeshaipata maana ulizoea kujitajirisha kwa sadaka, ukiulizwa sadaka unaiba unasema chuki za maskini

Tafuta Diploma ili Kanisa liendelee mkuu
Yohana : Mlango 4

23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
**********************************
Wapi umeona wenye diploma ndio wanaopaswa kumuabudu Mungu?
 
Una ushahidi wowote hela anayotoa sadaka ni ya wezi? Na wewe u Nani uanze kuhukumu wengine?
Sasa mfukoni unatenga pesa za uwizi na safi au?
Ushahidi amesimamishwa kazi sasa zaidi ya miezi 04 anakusubiri wewe uchambue sadaka alizotoa safi na chafu
 
Aliyekwambia maisha bora upatikana kwa kupiga deal nani!?

Acha mawazo ya aina hiyo wewe utapotea.
Hao viongozi woooote wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu huwaoni maisha yao?

Hata wewe ukipata nafasi utapiga tu sema kwakuwa bado hujapata nafasi unajivika umalaika hapa.
 
Yohana : Mlango 4

23 Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
**********************************
Wapi umeona wenye diploma ndio wanaopaswa kumuabudu Mungu?
Bujibuji acha utani Yale makanisa huko kwa Mama John, Ikuti na kalobe wachungaji mmeambiwa at least Diploma uwe nayo, Wameanza na huko lako bado halijaguswa
 
Yani kuna watu akili zenu zinashangaza sana!

Mtu ameweka ukweli kuhusu ubadhirifu ambao Mchechu amefanya NHC halafu anajitokeza mtu bila kujua kinachozungumzwa anaropoka tu "eti umaskini!".

Kwahiyo ulitaka wote hapa tuchekelee tu kupigwa? Kama kwako unaona sawa basi endelea kumshabikia huyo mwizi ila wengine hatukubali kupigwa kiboya boya tu.
ungekaa wewe nafasi yake usingeiba????????????
 
Kwahiyo una halalisha wizi sio!?

Hakika kuna watu hampo serious kabisa!!
Kuwa muelewa. Swali ni kwamba ni nani msafi asipige deal akiwa kwenye nafasi ya kufanya hivo?

Assume ingekuwa ile nafasi ulipewa wewe, usingeiba? Aliye halalisha wizi ni hao hao serikali wenyewe
 
Amejiuzuru kwa kulazimishwa ili asichafue Taswira ya EABL lakini sio kwa mawazo/fikra zake mwenyewe, kwa maana muda si mrefu atapandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ubadhirifu wa madaraka pale NHC.
 
Kwahiyo una halalisha wizi sio!?

Hakika kuna watu hampo serious kabisa!!
Sasa acha kuchangia mada kama unajua ungeiba tu
Nenda Jukwaa la Jinsi ya kupiga Forex huko

Huko Forex ndio Kuna wapiga deal Kama wewe mkajadili, Hizi siasa waachie wanaosimamia kodi zetu na kututapeli
 
Conflict of Interest, Ina maana ndefu kwa ufupi pale unapotumia Personal company na kupata tenda kwenye shirika unaloongoza mwenyewe, madhara yake

1.Miradi mingi bei walioverstate ili kampuni binafsi zipate pesa nyingi

2.personel company inanunua maeneo kwanza halafu unaliuzia shirika unaloendesha mwenyewe kwa bei kubwa
Hovyo mno yani,Magu tunakushukuru mno baba wanyooshe
 
mwambie huyo boya kweli
nachompendea mchechu kazi kafanya na dili kapiga ngoma droo
Watu wanajifanya waadilifu kwasababu tu hawajapata nafasi za ulaji. Tumeshuhudua makashfa ya kupiga deal kwa viongozi tena wa ngazi za juu huko kwa kujadiliwa kwa majina kbs leo hii mtu anakuja pyeeee pyeeeee muadilifu, muadilifu bongo hii!
 
Back
Top Bottom